The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
- #41
Sio small planet? Ama unaongelea kipi?...tumeanzisha kijiwe hapo opposite yake,..ni cha ukweli mno
Karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio small planet? Ama unaongelea kipi?...tumeanzisha kijiwe hapo opposite yake,..ni cha ukweli mno
Karibu
Labda kwa kukusaidia.yupo jela au yupo mahabusu? inaonekana kama unamchukia hivi
Hapana, sio mwanasheria.We ni mwanasheria eh
Nice answer
ohoooo! kumbeLabda kwa kukusaidia.
Mahabusu ni mtu ambae ametuhumiwa ila hakapatikana na hatia na bado yuko mikononi mwa vyombo vya dola. Yaani unaweza kua mahabusu na bado unaishi gerezani.
Jela au gereza ni mahala wanaposhikiliwa watuhumiwa ambao wanasubiri kesi zao zisikilizwe na wapate haki yao na pia kwa watu ambao tayari mashauri yao yameshasikilizwa na kutolewa maamuzi, yaani wamehukimiwa kutumikia kifungo.
Natumaini sasa utaelewa na utajijibu swali lako.
Hao wamiliki wa mekus hawakua hata na 200m yao sema walibuni mekus ikawa inawalipa.oryx walimfukuza mpangaji wa kituo chao na oryx ndio walivunja....karibu hugosIla kwanini wamiliki wa Bar za aina hii huwaga wana associate na scandal za kutisha?
Kwa huku mkoa kulikuwa na Bar inaitwa "Mekus Bistro" ilijizolea umaarufu mkubwa sana hasa kwa wageni kutoka mkoa wa Dar hasa wale ndugu zangu wa aika mbee!
Cha ajabu ilivunjwa kwa amri ya mahakama na wana Takukuru. Mmiliki alikuwa na msala wa uhujumu uchumi na acc. yake inasemekana ilikutwa na 20B ambayo uhalali wake ni wa kutatanisha wakati cease kwa tetesi kwamba ilikuwa kijiwe cha wauza ngada.
Kinaitwaje...tumeanzisha kijiwe hapo opposite yake,..ni cha ukweli mno
Karibu
Oyaa chalii inaifunika shivazDuh bar ilikuwa tamu sana,,,full malaya!
USA Kuna democracy , hapa kwetu hiyo kesi ya kuhujumu uchumi unaweza kupewa kirahisi sana , na ikakusumbua,Kama alikwiba mali ya umma,afie huko huko,tena serikali ibinafsishe kila kitu na assets zilizopatikana baada ya yeye kuanza utakatishaji wa pesa,
USA,ukikamatwa na pesa chafu,pesa inakuwa mali ya federal government,na kila kitu ulichonunua kwa pesa ya wizi,kinachukuliwa,familia yako,inaweza,ikatupwa nje ya nyumba bila huruma.
Ajali kaziniWale wapenzi wa bar maarufu Tabata Bima Junction mtakua mashahidi, hii bar imefungwa zaidi ya miezi 3. Awali watu wengi walidhani labda ni sababu ya Corona lakini sio kweli.
Mmiliki wa Forty Forty investments alikuwa ni mmoja wa wahasibu wa wizara ya utalii waliotafuna zaidi ya Billion 4 ambao Rais Magufuli aliamuru wakamatwe na kufikishwa mahakamani.
Sasa boss kubwa huyo yupo jela ananyea debe huku akipambana na kesi yake ya kuhujumu uchumi na kutakatisha pesa.
Lugola mtu wa Kanda maalim ya ziwaKumbe billion nne tu, Mbona Lugola Yuko nje anadunda tu
Kwetu pazuriPalikuwa patamu sana sasa sijui niende wapi?
ushawahi kuona shetani anakemewa kwa tabasamu? lazima ukunje uso aone jinsi anavyokuchukiza.Umeandika ki roho ya chuki
Kwani kakwambia anategemea mshahara? Watu wanabiashara na shughuli za uzalishaji.wacheni mawazo potofu kuwa ukiwa mwajiriwa basi hutakiwi kuwa na pesaHuo uzuri toka kitambo ni wa wizi pia.
Mtumishi gani wa serikali wa kiwango ambae mshahara tu unaweza kumpa ukwasi wa namna ile?
Utakuwa ni mtu wa hovyo sana kama unafurahia matatizo ya mtu hasa kwa kesi za tz ambazo nyingi ni za kuambukizwaWale wapenzi wa bar maarufu Tabata Bima Junction mtakua mashahidi, hii bar imefungwa zaidi ya miezi 3. Awali watu wengi walidhani labda ni sababu ya Corona lakini sio kweli.
Mmiliki wa Forty Forty investments alikuwa ni mmoja wa wahasibu wa wizara ya utalii waliotafuna zaidi ya Billion 4 ambao Rais Magufuli aliamuru wakamatwe na kufikishwa mahakamani.
Sasa boss kubwa huyo yupo jela ananyea debe huku akipambana na kesi yake ya kuhujumu uchumi na kutakatisha pesa.
Maskini wengi hufurahia matatizo ya matajiriParagraph ya tatu umeiandika kiushabiki sana. Jifunze ku-feel matatizo ya mwingine.
Tumia akili kidogo, hivi mtumishi hawezi kufanya biashara au kuwa na vipato vingine nje ya mshahara??Huo uzuri toka kitambo ni wa wizi pia.
Mtumishi gani wa serikali wa kiwango ambae mshahara tu unaweza kumpa ukwasi wa namna ile?