permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mahabusu ni yule mtu ambaye yuko ndani lakini kesi yake bado haijaisha, aliye jela au mfungwa ni yule ambaye kesi yake imeisha na kuamriwa afungwe kwa miaka kadhaa au kifungo cha maisha.Labda kwa kukusaidia.
Mahabusu ni mtu ambae ametuhumiwa ila hakapatikana na hatia na bado yuko mikononi mwa vyombo vya dola. Yaani unaweza kua mahabusu na bado unaishi gerezani.
Jela au gereza ni mahala wanaposhikiliwa watuhumiwa ambao wanasubiri kesi zao zisikilizwe na wapate haki yao na pia kwa watu ambao tayari mashauri yao yameshasikilizwa na kutolewa maamuzi, yaani wamehukimiwa kutumikia kifungo.
Natumaini sasa utaelewa na utajijibu swali lako.