Tetesi: Bar ya Forty Forty Tabata imefungwa miezi zaidi ya 3, mmiliki yuko jela kesi za uhujumu uchumi

Alipe faini , mil 200 kati ya hizo bilioni, atolewe

Au akubali makosa haraka ili awahi kuingia katika orodha ya msamaha wa Rais mwakani...

Na awaahidi kujiunga CCM kama Deo Mwanyika
Adhabu ni kati ya 100m hadi 500m ama kwenda jela miaka 5 ama vyote kwa pamoja lakini pia mali yote uliyoiba serikali inachukua.

Hawakuachi tu eti kisa umelipa 20m, wanakomba na mali nyingine.
 
HAKUNA ambae amelipa faini na bado akatumikia jela miaka 5

Ukilipa 200 milion unaachiwa.... hivyo ndivyo imekuwa ikifanywa...

Na wakishakubaliana namba ya kulipa HAKUNA tena kukombwa mali juu ya ile faini...

Somo la busara kwa kila mtumishi ni kwamba ukipiga pesa ukaanza kuzila hakikisha unabakiza hela ya faini in case unakamatwa.

Wezi wadogo wadogo wa kuku, simu, vioo vya magari, pochi, hao wanafungwa!
 
Ukikiri kosa mkakubaliana na waendesha mashataka ndio wanakuondolea kifungo unabakia na faini na kutaifisha mali, yale makubaliano yenu waendesha mashtaka wa serikali wanaenda kuiomba mahakama iyakubali uhukumiwe kulingana na makubaliano, ulipe faini na uachiwe huru.

Uwezekano wa kukufunga jela na kukulipisha faini bado wanakua nao. Plea bargain hua inakupunguzia adhabu na kupunguza muda wa wewe kukaa mahabusu na pia kufupisha mlolongo wa mashataka.

Ukutaka kuelewa zaidi soma anti - money laundering act ya 2006 na subsequent amendments zake uelewe. Usikariri kua ni faini tu.
 
Kwahiyo na mali zote wanachukua/ kutaifisha?
 
Unaongelea ma theory ya kwenye makaratasi, mi naongelea ACTUAL PRACTICE ON THE FIELD

Nani umewahi kusikia kahukumiwa kufungwa, kulipa faini na kutaifishwa? Taja mmoja.

Legal theory and practice ni mbingu na ardhi. Especially kwenye hizi third world Kangaroo judiciaries. Acha kukariri ma theory tu.
 
HAKUNA ambae amelipa faini na bado akatumikia jela miaka 5

Ukilipa 200 milion unaachiwa.... hivyo ndivyo imekuwa ikifanywa...

Na wakishakubaliana namba ya kulipa HAKUNA tena kukombwa mali juu ya ile faini...

Somo la busara kwa kila mtumishi ni kwamba ukipiga pesa ukaanza kuzila hakikisha unabakiza hela ya faini in case unakamatwa.

Wezi wadogo wadogo wa kuku, simu, vioo vya magari, pochi, hao wanafungwa!
Wezi wa kuku, pochi, Nazi hawafungwi. Hawa tunatia kiberiti na petroli
 
Unaongelea ma theory ya kwenye makaratasi, mi naongelea ACTUAL PRACTICE ON THE FIELD

Nani umewahi kusikia kahukumiwa kufungwa, kulipa faini na kutaifishwa? Taja mmoja.

Legal theory and practice ni mbingu na ardhi. Especially kwenye hizi third world Kangaroo judiciaries. Acha kukariri ma theory tu.
Shule ulienda kweli? Na bahati mbaya ni kwamba kukimbia shule hakuna mbadala, utajulikana tu.

Kukusaidia, hiyo actual unayoisema au hayo maamuzi ya kulipa hela yanatoka kwenye sheria gani?

Mahakama ikikutia hatiani sheria, hakimu hajiamulii tu wewe lipa 200m, sheria iliyosema kiasi cha kulipa au adhabu baada ya kupatikana na kosa ni sheria ya kupambana na utakatishaji pesa.

nimekwambia hapo juu, mara nyingi wanakuondolea kifungo kama umekiri kosa kutokana na sheria ya kukiri kosa au plea bargaining inayokupa wewe nafasi ya kujadiliana na waendesha mashitaka adhabu, na hakuna mtu atakaependa jail time, kwa sababu kuna kulipa pesa, kwenda jela ama vyote.

Kubisha jambo usilolijua ni dalili za uzezeta.
 
kuanzisha biashara kwa pesa ya wizi hiyo inaitwa money laundering
 
Back
Top Bottom