The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #101
Adhabu ni kati ya 100m hadi 500m ama kwenda jela miaka 5 ama vyote kwa pamoja lakini pia mali yote uliyoiba serikali inachukua.Alipe faini , mil 200 kati ya hizo bilioni, atolewe
Au akubali makosa haraka ili awahi kuingia katika orodha ya msamaha wa Rais mwakani...
Na awaahidi kujiunga CCM kama Deo Mwanyika
Hawa ndio wanaongoza kusema tujiajiriKumbe alikuwa anatumia hicho kichaka cha 40 40 kufua pesa chafu?
Adhabu ni kati ya 100m hadi 500m ama kwenda jela miaka 5 ama vyote kwa pamoja lakini pia mali yote uliyoiba serikali inachukua.
Hawakuachi tu eti kisa umelipa 20m, wanakomba na mali nyingine.
Ukikiri kosa mkakubaliana na waendesha mashataka ndio wanakuondolea kifungo unabakia na faini na kutaifisha mali, yale makubaliano yenu waendesha mashtaka wa serikali wanaenda kuiomba mahakama iyakubali uhukumiwe kulingana na makubaliano, ulipe faini na uachiwe huru.HAKUNA ambae amelipa faini na bado akatumikia jela miaka 5
Ukilipa 200 milion unaachiwa.... hivyo ndivyo imekuwa ikifanywa...
Na wakishakubaliana namba ya kulipa HAKUNA tena kukombwa mali juu ya ile faini...
Somo la busara kwa kila mtumishi ni kwamba ukipiga pesa ukaanza kuzila hakikisha unabakiza hela ya faini in case unakamatwa.
Wezi wadogo wadogo wa kuku, simu, vioo vya magari, pochi, hao wanafungwa!
Umejiridhisha kuwa ni mwizi??Mtu mwizi utaandika kwa roho ya upendo? Hujui yeye kuiba hizo hela amesababisha watu wangapi kufa kwa kukosa huduma ambayo ingeweza kutolewa na hiyo pesa?
Kwahiyo na mali zote wanachukua/ kutaifisha?Ukikiri kosa mkakubaliana na waendesha mashataka ndio wanakuondolea kifungo unabakia na faini na kutaifisha mali, yale makubaliano yenu waendesha mashtaka wa serikali wanaenda kuiomba mahakama iyakubali uhukumiwe kulingana na makubaliano, ulipe faini na uachiwe huru.
Uwezekano wa kukufunga jela na kukulipisha faini bado wanakua nao. Plea bargain hua inakupunguzia adhabu na kupunguza muda wa wewe kukaa mahabusu na pia kufupisha mlolongo wa mashataka.
Ukutaka kuelewa zaidi soma anti - money laundering act ya 2006 na subsequent amendments zake uelewe. Usikariri kua ni faini tu.
Full mauteleziDuh bar ilikuwa tamu sana,,,full malaya!
Ukikiri kosa mkakubaliana na waendesha mashataka ndio wanakuondolea kifungo unabakia na faini na kutaifisha mali, yale makubaliano yenu waendesha mashtaka wa serikali wanaenda kuiomba mahakama iyakubali uhukumiwe kulingana na makubaliano, ulipe faini na uachiwe huru.
Uwezekano wa kukufunga jela na kukulipisha faini bado wanakua nao. Plea bargain hua inakupunguzia adhabu na kupunguza muda wa wewe kukaa mahabusu na pia kufupisha mlolongo wa mashataka.
Ukutaka kuelewa zaidi soma anti - money laundering act ya 2006 na subsequent amendments zake uelewe. Usikariri kua ni faini tu.
Wezi wa kuku, pochi, Nazi hawafungwi. Hawa tunatia kiberiti na petroliHAKUNA ambae amelipa faini na bado akatumikia jela miaka 5
Ukilipa 200 milion unaachiwa.... hivyo ndivyo imekuwa ikifanywa...
Na wakishakubaliana namba ya kulipa HAKUNA tena kukombwa mali juu ya ile faini...
Somo la busara kwa kila mtumishi ni kwamba ukipiga pesa ukaanza kuzila hakikisha unabakiza hela ya faini in case unakamatwa.
Wezi wadogo wadogo wa kuku, simu, vioo vya magari, pochi, hao wanafungwa!
Shule ulienda kweli? Na bahati mbaya ni kwamba kukimbia shule hakuna mbadala, utajulikana tu.Unaongelea ma theory ya kwenye makaratasi, mi naongelea ACTUAL PRACTICE ON THE FIELD
Nani umewahi kusikia kahukumiwa kufungwa, kulipa faini na kutaifishwa? Taja mmoja.
Legal theory and practice ni mbingu na ardhi. Especially kwenye hizi third world Kangaroo judiciaries. Acha kukariri ma theory tu.