Kumbe nia yake ni watu wawe na maisha magumu?Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.
Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Kiongozi, The Great Park ipo sehemu gani? Juzi jmosi usiku nimepita Kinyerezi karibu na njia panda ya majumba sita kuna bar moja ilikuwa imejaa hatari. Kulikuwa na utitiri wa watu wanaburudika, huku wale "warembo wetu" wakiwa tayari kutoa huduma, sijui ile bar inaitwaje!!kweli zinajaa, hasa the great park, swali je huwa wanapiga maji kweli au kujaza viti tu bia 3 mpaka kuchere mha ha a a
Sema sina hela sio hatuna hela.Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.
Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Kwahiyo kufanya sitarehe ni utahila? Kweli watu tuna matatizo kichwani yaani ukishaona pesa unayotumia Bar kunywa pombe na kuchoma vinyama kidogo inakuharibia bajeti zako au inakurudisha nyuma kimaisha ujue bado una safari ndefu sana ya kutafuta pesaSiyo wawe na maisha magumu,
Wawe na akili
Hukusimama kujiridhisha?!Kiongozi, The Great Park ipo sehemu gani? Juzi jmosi usiku nimepita Kinyerezi karibu na njia panda ya majumba sita kuna bar moja ilikuwa imejaa hatari. Kulikuwa na utitiri wa watu wanaburudika, huku wale "warembo wetu" wakiwa tayari kutoa huduma, sijui ile bar inaitwaje!!
Hiyo itakuwa STKKiongozi, The Great Park ipo sehemu gani? Juzi jmosi usiku nimepita Kinyerezi karibu na njia panda ya majumba sita kuna bar moja ilikuwa imejaa hatari. Kulikuwa na utitiri wa watu wanaburudika, huku wale "warembo wetu" wakiwa tayari kutoa huduma, sijui ile bar inaitwaje!!
kuna nyingine ipo tabata kinyerezi pale inaitwa new makirikiri isee ni balaa,gari zimejaa msururu na hakuna gari ya kichovu, basi watu walivyo na mbwembwe unaona anajidai amesahau powerbank anampa barmaid mzuuuur funguo za gari anamtuma hebu nenda kwenye gari pale T654 DDD Prado new model chek siti ya nyuma kuna powerbank uniletee,HAPO UJUE AKICHOMOKA ANACHOMOKA NA HUYO MTOTO.
Kwani haijarudi?Na Sinza tunataka kona bar yetu irudi.. Bia za pale ndo tamu
Mkuu hivi ile bar ya pale tabata barakuda kwa juu kidogo inaitwaje? mana nilipita jumapili nilishangaa ilivyojaa hadi parking inasumbuaga na pale kwetu pazuri nilipita asubuhi ya saa kumi na mbili nikaona watu wengi sijui wanakeshaga pale.Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.
Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Cjajua kama wameachia, mara ya mwisho nimepita pale bado kulikuwa na utepe mwekundu wa polisiKwani haijarudi?
Tatizo lako una tabia za kibashite ambazo mwisho Wa siku utapakatwaTabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.
Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.
Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Nilikuwa na mamsap, teh!Hukusimama kujiridhisha?!