Bar za Tabata zinajaa sana, Magufuli endelea kukaza

Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Kumbe nia yake ni watu wawe na maisha magumu?
 
kweli zinajaa, hasa the great park, swali je huwa wanapiga maji kweli au kujaza viti tu bia 3 mpaka kuchere mha ha a a
Kiongozi, The Great Park ipo sehemu gani? Juzi jmosi usiku nimepita Kinyerezi karibu na njia panda ya majumba sita kuna bar moja ilikuwa imejaa hatari. Kulikuwa na utitiri wa watu wanaburudika, huku wale "warembo wetu" wakiwa tayari kutoa huduma, sijui ile bar inaitwaje!!
 
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Sema sina hela sio hatuna hela.
 
Siyo wawe na maisha magumu,
Wawe na akili
Kwahiyo kufanya sitarehe ni utahila? Kweli watu tuna matatizo kichwani yaani ukishaona pesa unayotumia Bar kunywa pombe na kuchoma vinyama kidogo inakuharibia bajeti zako au inakurudisha nyuma kimaisha ujue bado una safari ndefu sana ya kutafuta pesa
 
Kiongozi, The Great Park ipo sehemu gani? Juzi jmosi usiku nimepita Kinyerezi karibu na njia panda ya majumba sita kuna bar moja ilikuwa imejaa hatari. Kulikuwa na utitiri wa watu wanaburudika, huku wale "warembo wetu" wakiwa tayari kutoa huduma, sijui ile bar inaitwaje!!
Hukusimama kujiridhisha?!
 
Kama hauna hela waache wenye hela za kustarehe wafanye yao. Wivu wakijinga kabisa. we ni zaidi ya mchawi.
 
Kiongozi, The Great Park ipo sehemu gani? Juzi jmosi usiku nimepita Kinyerezi karibu na njia panda ya majumba sita kuna bar moja ilikuwa imejaa hatari. Kulikuwa na utitiri wa watu wanaburudika, huku wale "warembo wetu" wakiwa tayari kutoa huduma, sijui ile bar inaitwaje!!
Hiyo itakuwa STK
The Great Park ipo Tabata Baracuda
 
kuna nyingine ipo tabata kinyerezi pale inaitwa new makirikiri isee ni balaa,gari zimejaa msururu na hakuna gari ya kichovu, basi watu walivyo na mbwembwe unaona anajidai amesahau powerbank anampa barmaid mzuuuur funguo za gari anamtuma hebu nenda kwenye gari pale T654 DDD Prado new model chek siti ya nyuma kuna powerbank uniletee,HAPO UJUE AKICHOMOKA ANACHOMOKA NA HUYO MTOTO.

Nguvu yote hio ili achomoke na bar maid tu?!! Hio ni sawa na kuua mende kwa gobole.
 
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Mkuu hivi ile bar ya pale tabata barakuda kwa juu kidogo inaitwaje? mana nilipita jumapili nilishangaa ilivyojaa hadi parking inasumbuaga na pale kwetu pazuri nilipita asubuhi ya saa kumi na mbili nikaona watu wengi sijui wanakeshaga pale.
 
Hotel ya Mantaray kule Shangani Mtwara imefungwa rasmi 30.03.2017 kwa kukosa biashara.

Haya mama mwanzisha mada, furahi kwa wenzio kukosa ajira.
 
kweli kabisa aendelee kukaza maana inabidi watu wote waishi kama mashetani kama kauli mbiu yake
 
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu.

Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni hautamwamini kamwe.

Watu wanapiga mitungi kama kawa mpaka majogoo.
Tatizo lako una tabia za kibashite ambazo mwisho Wa siku utapakatwa
 
Back
Top Bottom