Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

Ushaanza ujuaji... I'm gone! [emoji119][emoji16]
 
Nimegundua hii Jf kuna watu wanawivu na maendeleo ya wengine...
So mtu kuishi abroad or kudrive ndio kuoneka much Know?? Sad
 
Nimegundua hii Jf kuna watu wanawivu na maendeleo ya wengine...
So mtu kuishi abroad or kudrive ndio kuoneka much Know?? Sad
Tushawazoea hao.

Uzuri ni kwamba wengine hatuyumbishwi na sifa wala lawama.

Hicho kitu muhimu sana.

Jitahidi ukisifiwa usivimbe sana kichwa, na ukilaumiwa usikasirike sana.

Level head.

Ichi ban.

One.
 
Nasikia mna misikiti na makanisa mengi. Nendeni kukesha huko.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
KB Bar haifi... Ilikuja China Bar imekufa, ikaja WhatsApp naona inachechemea. Pale Club 71 ya kibo ishajifia.
Lakini KB Bar inarindima daily na vibe Lile lile daily.
Umesahau Zanzibar bar na family bar
 
KB Bar haifi... Ilikuja China Bar imekufa, ikaja WhatsApp naona inachechemea. Pale Club 71 ya kibo ishajifia.
Lakini KB Bar inarindima daily na vibe Lile lile daily.
Umesahau Guangzou. Kuna bar huwa hazifi miaka nenda rudi mfano BM na PK
 
Watu wanatafuta fursa we unawabania hama nenda Masaki, Mbezi Beach mbona pakawaida sana mkuu au umetoka Ludewa
Mlugaluga huyu....kuna mitaa mbezi beach kuna.hadi vijumba vya udongo na.vingine bati zimechoka kama kwa mfuga mbwa.......huyu kweli wa ludewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…