instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wa bara la Africa hasa hawa viongozi wa vyama vya upinzani mfano hawa CHADEMA tunaona viongozi karibia wote wamekabidhi familia zao zote kwa mabeberu, huku ni kuudhalilisha Uafrika wetu, sisi waafrica si wategemezi kiasi hicho.
Hao hao CHADEMA , Kuna wengine wameacha mashamba Tanzania wanaishi Kenya wanapangiana zamu za kupika kwa @MariaSarungi sijajua waliopo kwa maria Sarungi ni watu wa makabila Gani, Hii ni aibu mno.
Imefikia wakati mpaka viongozi wa vyama vya upinzani mfano CHADEMA wanawateua wazungu🤣🤣🤣