Bara la Afrika bado lina vyama vya upinzani vinavyoona mzungu ni Mungu wao huku ni kuudhalilisha Uafrika

Thibitisha, ili tuone huo msingi wa kusema hivyo kisha tuangalie na chama chetu cha tawala kinamwabudu nani? Tusijitoe akili kwa sababu za kutaka kuridhisha mioyo yetu kwa kulazimisha mambo, hii ni sawa kabisa na ushetani.

Kama mtu anazingatia morals and principles hawezi fanya hivyo. Mimi siko CDM wala CCM lakini siwezi kuona jambo la hovyo linalogusa maisha ya wengi nikashabikia. Kama sina mchango nakaa kimya kuliko kuunga mkono upuuzi.

Na ndio kinachtusikitisha waungwana. Mnapolazimisha uongo kuwa ukweli hukumnajua ni uongo
 
Attachments

  • 20260225_190644.jpg
    20260225_190644.jpg
    88.9 KB · Views: 12
Ukitaka kujua ww ni mjinga ambaye bado unaishi kwenye propaganda za kizee, kaangalie miradi yote mikubwa inayovuka 20b wanapewa watu gani kuifanya, ukishapata jibu uje useme hiyo akili ya huyo mwanaccm ni ipi.
Mnakabidhi wazungu wake zenu
 
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wa bara la Africa hasa hawa viongozi wa vyama vya upinzani mfano hawa CHADEMA tunaona viongozi karibia wote wamekabidhi familia zao zote kwa mabeberu, huku ni kuudhalilisha Uafrika wetu, sisi waafrica si wategemezi kiasi hicho.
Hao hao CHADEMA , Kuna wengine wameacha mashamba Tanzania wanaishi Kenya wanapangiana zamu za kupika kwa @MariaSarungi sijajua waliopo kwa maria Sarungi ni watu wa makabila Gani, Hii ni aibu mno.
Imefikia wakati mpaka viongozi wa vyama vya upinzani mfano CHADEMA wanawateua wazungu🤣🤣🤣
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
 
uko sahihi kwa 100% gentleman,
CHADEMA kufanywa ndio kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi katika eneo la maziwa makuu, ni jambo la fedheha na la kidhalili mno kwa ustawi wa demokrasia ya nchi yetu.

na wale vijana wa CHADEMA waliobebwa ufala wa kifikra wanaolelewa hapo Nairobi, na kufafanywa mamluki wa vibaraka hao wa mabwenyenye ya magharibi ikiwemo huyo mbibi uliemtaja kwenye hoja ya msingi, wamedhalilisha sana familia zao na vijana wenzao kufanywa watumwa kizembe hivyo.

Mwenyezi Mungu atuepushe na aina hiyo ya kukosa maarifa na kufanywa malofa kama hao vijana wa CHADEMA.
 
Hakuna watu wanaoabudu wazungu kama CCM na serikali yake au unaongea kujifurahisha? Kwa mfano Tanzania imejaa vyuo vikuu na wasomi lukuki lakini kwenye kilimo lazima muite mzungu aje awafungie mabomba ya umwagiliaji. Ng'ombe nyie
 
Kama serikali yako tu inategemea nusu ya bajeti epewe misaada na mikopo na wazungu, unadhani hao Chadema ni nani wasitake huo msaada?.

Wakiumwa iwe mabusha, pressure na magonjwa mengine wanakimbilia wapi kama sio kwa wazungu?.
 
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wa bara la Africa hasa hawa viongozi wa vyama vya upinzani mfano hawa CHADEMA tunaona viongozi karibia wote wamekabidhi familia zao zote kwa mabeberu, huku ni kuudhalilisha Uafrika wetu, sisi waafrica si wategemezi kiasi hicho.

Hao hao CHADEMA , Kuna wengine wameacha mashamba Tanzania wanaishi Kenya wanapangiana zamu za kupika kwa @MariaSarungi sijajua waliopo kwa maria Sarungi ni watu wa makabila Gani, Hii ni aibu mno.

Imefikia wakati mpaka viongozi wa vyama vya upinzani mfano CHADEMA wanawateua wazungu🤣🤣🤣

View attachment 3559842View attachment 3559843
Ni bora kuwa na upinzan unaoona wazungu ni Mungu kuliko kuongozwa na mbweha weusi kama ccm
 
CHADEMA wanaabudu wazungu
Nawafahamu watoto 13 wa viongozi wakubwa wa CCM na "vigogo" 6 wa CCM na serikali wenye uraia wa nchi nyingine.

Watu wamepeleka wake zao kujifungulia US ili watoto wawe raia wa US, halafu mnatusema tulio na familia/watoto zetu huko nchi za Magharibi.
 
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wa bara la Africa hasa hawa viongozi wa vyama vya upinzani mfano hawa CHADEMA tunaona viongozi karibia wote wamekabidhi familia zao zote kwa mabeberu, huku ni kuudhalilisha Uafrika wetu, sisi waafrica si wategemezi kiasi hicho.

Hao hao CHADEMA , Kuna wengine wameacha mashamba Tanzania wanaishi Kenya wanapangiana zamu za kupika kwa @MariaSarungi sijajua waliopo kwa maria Sarungi ni watu wa makabila Gani, Hii ni aibu mno.

Imefikia wakati mpaka viongozi wa vyama vya upinzani mfano CHADEMA wanawateua wazungu🤣🤣🤣

View attachment 3559842View attachment 3559843
Wewe ni mpumbavu
Una akili za kizamani za kipumbavu za kibaguzi

Kwani wazungu sio binadamu na watu kama sisi

Hiyo simu google na internet unaingia nayo ni ya kwenu ?

Hizo ARv mnazopewa Bure ni zinatengenezwa kizimkazi au mchambawima ??

Mfumo wa utawala ulionao walianzisha mabubu zako wa kilwa kivinje ??

Nyie wapuuzi ndo mnafanya waafrika tuonekane hutuna akili
 
uko sahihi kwa 100% gentleman,
CHADEMA kufanywa ndio kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi katika eneo la maziwa makuu, ni jambo la fedheha na la kidhalili mno kwa ustawi wa demokrasia ya nchi yetu.

na wale vijana wa CHADEMA waliobebwa ufala wa kifikra wanaolelewa hapo Nairobi, na kufafanywa mamluki wa vibaraka hao wa mabwenyenye ya magharibi ikiwemo huyo mbibi uliemtaja kwenye hoja ya msingi, wamedhalilisha sana familia zao na vijana wenzao kufanywa watumwa kizembe hivyo.

Mwenyezi Mungu atuepushe na aina hiyo ya kukosa maarifa na kufanywa malofa kama hao vijana wa CHADEMA.
Chadema kuwa na alliance na vyama vingine vya upinzani duniani na kuamua kuwa na legal advisor mzungu anakuwa kibaraka?

Lissu yuko jela, nani ulitaka achaguliwe katika mazingiria kama hayo na akubali kufanya kazi inavyotakiwa?
 
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wa bara la Africa hasa hawa viongozi wa vyama vya upinzani mfano hawa CHADEMA tunaona viongozi karibia wote wamekabidhi familia zao zote kwa mabeberu, huku ni kuudhalilisha Uafrika wetu, sisi waafrica si wategemezi kiasi hicho.

Hao hao CHADEMA , Kuna wengine wameacha mashamba Tanzania wanaishi Kenya wanapangiana zamu za kupika kwa @MariaSarungi sijajua waliopo kwa maria Sarungi ni watu wa makabila Gani, Hii ni aibu mno.

Imefikia wakati mpaka viongozi wa vyama vya upinzani mfano CHADEMA wanawateua wazungu🤣🤣🤣

View attachment 3559842View attachment 3559843
Kama Uafrika ni kuua waandamanaji na kuteka wakosoaji basi Uafrika wa aina hiyo mimi siutaki
 
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wa bara la Africa hasa hawa viongozi wa vyama vya upinzani mfano hawa CHADEMA tunaona viongozi karibia wote wamekabidhi familia zao zote kwa mabeberu, huku ni kuudhalilisha Uafrika wetu, sisi waafrica si wategemezi kiasi hicho.

Hao hao CHADEMA , Kuna wengine wameacha mashamba Tanzania wanaishi Kenya wanapangiana zamu za kupika kwa @MariaSarungi sijajua waliopo kwa maria Sarungi ni watu wa makabila Gani, Hii ni aibu mno.

Imefikia wakati mpaka viongozi wa vyama vya upinzani mfano CHADEMA wanawateua wazungu🤣🤣🤣

View attachment 3559842View attachment 3559843
Je vipi kile kinachoona Dola ndiyo Mungu wao na ndiye mwezeshaji wa maisha yake?
 
Back
Top Bottom