Bara la America kusini Lina Vipaji Vingi Sana vya mpira Kuzidi mabara mengine na Ulaya ikiwemo

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Ukiyasikia majina ya Timu za Taifa kama mko kundi moja mfano
1. Paraguay
2. Uruguay
3. Brazil
4. Argentina
5. Chile
6. Bolivia

Lazima ujiulize mara mbili mbili juu ya kunusurika kwako kwenye makundi,

Ukiyasikia majina kama ya
1. Messi
2. Sanchez
3. Suarez
4. Neymar
5. Coutinho
6. Dos Santos Mexico
7. Di Maria
8. Vidal
9. Firmino
10.Casemiro

Hapo lazima ushangae,

Wa zamani
1. Ronaldo de lima
2. Ronaldinho Gaucho
3.kaka
4.Forlan
5. Robert Carlos
6. Eusebio
7. Garincha
8. Màradona
9. Didi
10. Jaizihno
11 Suarez wa Paraguay miaka hiyo
12. Marcos keeper

Naona bara la America kusini limetoa ushindani mkubwa Sana Kwa mabara mengine

Kombe la Dunia
1.Brazil 5
2. Argentina 2
3. Uruguay 2

Jumla ni 5 nchi shiriki ni makombe 10 inamaana bara lina ratio ya ni makombe mawili Kwa kila mshiriki
1:2

Kwa ulaya ni makombe 8
Yaan washiriki wa ulaya ni wengi 24 inamaana 8 gawa Kwa 24 ni 0.3 hata moja bado

Ukiangalia ulaya imekuwa na washiriki wengi lakin kombe wamelibeba mara chache Tu 8 tu,
American kaskazin wana 1

Kwa Upande wa Africa duh sina la kusema mana Trump anaweza tubadilishia tusi

FIFA WORLD PLAYERS
Imeanza mwaka 1990

Lakin katika hizo mpaka sasa ni miaka 28

Lakin mara nyingi zimeenda America kusini
1.Messi 5
2. Ronaldo de lima 3
3. Ronaldinho Gaucho 2
4. Romario 1
5. Kaka 1
6. Rivado 1

Mara zote 28 America kusini imetoa mara 14

Ulaya imetoa mara 13

Na mara moja Africa ya Gorge weah

Kombe la mabara
1. Brazilia 4
2. Argentina 1

Limenza mwaka 1991 limechezwa mara 8 lakin 5 zimeenda America kusini

Tunaongea Kwa fact

Haya sasa

Na wanaotajwa kuwa best player of all time wanatwajwa
1. Pele
2. Màradona
3. Messi

Sijaona wa Ulaya au Africa

MawAzo yenu plz
 
Kwa facts hizi,Sidhani kama nitapinga zaidi ya ku support tu...Mpira wa ulaya mara nyingi unafundishwa kwenye vitabu tu.Embu angalia wachezaji wa Uingereza wanavyocheza,yaani unaona kabisa hawa kuna vitu wamekariri mazoezini/academy.We watizame hata wakati wa wamepanga mistari kujiandaa kuingia uwanjani.Yaani wanatizama juu hakuna kusemeshana na mtu,sijui wanahofia kusahau walichokaririshwa?..
Waangalie wachezaji wa Amerika ya Kusini sasa.Utaona wanasalimiana,wanapiga story na kucheka huku wakisibiri kuingia uwanjani.
Yaani wame relax,wanaona mpira ni burudani na kifurahi coz wameucheza kitaani toka wakiwa watoto.
We waangalie kina Messi,Neymar,Coutinho n.k.Wamacheza mpira wakiwa na furaha hadi unaona mpira ni kazi rahisi sana.
Njoo kwa kina Garrard na kina Terry huku England sasa,yaani makete kichwa sijui nini,ilimradi tu mpira uingie golini.Hahaha
 
huyo Eusebio wala hakuwahi kutoka Amerika ya Kusini, huyo ni mwenyeji wa hapo Nampula, Msumbiji ambapo alichagua kuchezea timu ya Taifa ya Ureno.

Aliuwasha sana moto katika Fainali za Kombe la Dunia la mwaka 1966 zilizofanyika kwa Malkia huku Mmakonde huyo akiwa top scorer.
 
Hakuna mkurugenzi, wasiojua wanapita kimya kimya Kwa Uzi huu
 
huyo Eusebio wala hakuwahi kutoka Amerika ya Kusini, huyo ni mwenyeji wa hapo Nampula, Msumbiji ambapo alichagua kuchezea timu ya Taifa ya Ureno.

Aliuwasha sana moto katika Fainali za Kombe la Dunia la mwaka 1966 zilizofanyika kwa Malkia huku Mmakonde huyo akiwa top scorer.
Eusebio da silva perreira mwanzo walimuita magagaga na baadae black panther ila watu wengi walipenda kumuita Eusebio MKUU makonde boy huyu na pia utakuta picha yake ya sanamu kuonyesha utumishi wake mwema kwa kilabu chake cha Ureno.
 
Back
Top Bottom