BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Ulishindwa hata kupiga pichaWakuu habari zenu
Nimepita maeneo ya Keko, kuanzia chuo cha Diplomasia kwenda Chang'ombe Mataa, kunajengwa barabara, ya mwendo Kasi. Lakini barabara ya kawaida sijaielewa...
Sasa Kama haipitishi magari hata mawili Kuna haja gani ya kujenga. Bora ilivyokuwa mwanzoUkitaka iwe pana lazima watu wavunjiwe majengo yao...
Mkuu nitaleta picha, halafu kitu Kama hiki, naona kinaenda kujengwa posta, maeneo ya stationUlishindwa hata kupiga picha
Bora kungeachwa Kama zamani, haikuwa na lazima kujenga mwendokasi pale. Cha ajabu mwendokasi ndio umepewa nafasi kubwanaboreka sana na iyo barabara tutateseka sana na foleni hasa malori ya kuingia pale pangan tameco kiwanda cha maji,bado monalisa,bado kwa bakhresa mule na jaffery industries yakiingia na kutoka foleni lazima.
Nitaleta picha kiongozi, dah magari yatachunika sana pale, hata gari hizi ndogo, ukikosea umechuna gariUrudi uipige picha ndo uendelee na.hadithi
Kama zitajengwa Kama pale, Bora wakatae kupokea hiyo BRT. Naona tunabomoa badala ya kujenga. Sasa pale Kuna faida gani Karne hii ya 21. Si Bora watu wabomolewe walipwe, kijengwe kitu Cha maanaIkikamilika hiyo wale wa Mandela Road na Gongolamboto kuja Ukonga mjiandae kupokea BRT
Ujamuelewa ndio maana una muuliza swali........ Soma vizuri bandiko lake.Ulitakaje?
Na kwa pale keko ukiondoa Veta na yale maghorofa ya zamani ya Nhc kuwalipa fidia upande wa magurumbasi ni watu wachache mno kwa maana pale ddc ni chini ya serikali thru ccm,king palace pia ivo ivo pale sokoni pia chini ya manispaa ambapo mbele yake kuna showroom za fenicha.Kama zitajengwa Kama pale, Bora wakatae kupokea hiyo BRT. Naona tunabomoa badala ya kujenga. Sasa pale Kuna faida gani Karne hii ya 21. Si Bora watu wabomolewe walipwe, kijengwe kitu Cha maana
Walishindwa nn kufanya hivyo, mwishoo kinajengwa, kituko, Kodi yangu inaniuma sana,Na kwa pale keko ukiondoa Veta na yale maghorofa ya zamani ya Nhc kuwalipa fidia upande wa magurumbasi ni watu wachache mno kwa maana pale ddc ni chini ya serikali thru ccm,king palace pia ivo ivo pale sokoni pia chini ya manispaa ambapo mbele yake kuna showroom za fenicha.