KERO Barabara inayounganisha Busoka na Masaki Wilayani Kahama hali yake ni mbaya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest

Hii ni Barabara ipo Kahama na inaunganisha vijiji vya Busoka na Masaki hali yake ni mbaya, Barabara imekatika na maji mengi yanapita katikati, jambo linalofanya iwe vigumu au isiwezekane kabisa kwa magari na vyombo vingine vya usafiri kupita.

Tunaomba viongozi ("Waheshimiwa") na wazee wa Kahama kuingilia kati kurekebisha miundombinu hiyo kutokana na adha tunayopata wananchi.
 
Ila ccm wana dhambi nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…