figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kundi la vijana limefunga barabara kuu inayounganisha Kenya na Tanzania mjini Migori kupinga kutoweka kwa Miguna Miguna. Jijini Kisumu, vijikaratasi vimesambazwa leo asubuhi vikionya kuteketeza vituo vya polisi iwapo serikali haitaonyesha alipo wakili huyo.