Barabara kuu inayounganisha Kenya na Tanzania mjini Migori, imefungwa kupinga kutoweka kwa Miguna Miguna

Barabara kuu inayounganisha Kenya na Tanzania mjini Migori, imefungwa kupinga kutoweka kwa Miguna Miguna

nilishasema huu ni mtego kwa Uhuru Kenyatta akijaribu kumkamata odinga tu itakula kwake!!!
 
ahaaa haaa haaa Mimi mtu yeyote anaye ongea issue za kinyonge nampa jiwe kii!!
Nyang'au wamekuweza sasa umewapindukia watz wenzako? Unadhani ni wote huwa wanakesha hapa Kenya News kama wewe? Waache waongee, si nilidhani mnataka sisi wakenya tuige demokrasia ya Tz? 😉
 
Itokee Miguna afariki Kenya italipuka
sio rahisi atoweke..
icc itahamia kenya. miguna ana washabiki na wafuasi wengi sana,,
miguna-miguna-esther-passaris.jpg
 
sio rahisi atoweke..
icc itahamia kenya. miguna ana washabiki na wafuasi wengi sana,,
miguna-miguna-esther-passaris.jpg
Wafuasi gani? Rudi kwenye matokeo ya uchaguzi wa Ugavana wa Nairobi agosti nane, mwaka uliopita. Hapo utaona kura alizopata, hata hausigeli wake sidhani alimpigia kura. Wagombea wenzake walipata mamia ya maelfu ya kura yeye hata mia tano tu kufikisha ilikuwa ni ishu!
 
Back
Top Bottom