eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Asante kwa kuniongezea miaka maana nimecheka sana.
usicheke bali muonee huruma. MAANA hajui lipi ni lipi. SASA anasema tz ya viwanda na kuchoma mataili barabarani Kenya vinahusiana nini?? au wapi na wapi!!??
CC: rutegeramisi gwategera