figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
watu wa roporopo hawa hapa.....Tz ya viwanda
Wewe jamaa kweli nyumbu. Unajua Miguna ni raia wa nchi ganiTz ya viwanda
watu wa roporopo hawa hapa.....
Wewe ambaye unamkemea mtz mwenzako kwasababu hana kiherehere cha kufukuzana na maswala ya Kenya ndo hujielewi hata kidogo. Kwani ingekuuma kama ungemuelimisha bila ya kutokwa na povu kiasi hicho?hajui HATA ANACHOSEMA maana hajui HATA miguna ni nini na iko wapi!!?
hii ndiyo misukule ya mambe kimangi ambayo inamfuata kokote aendako pia amewashikia akili hawajielewi.
CC: rutegeramisi gwategera
Wewe ambaye unamkemea mtz mwenzako kwasababu hana kiherehere cha kufukuzana na maswala ya Kenya ndo hujielewi hata kidogo. Kwani ingekuuma kama ungemuelimisha bila ya kutokwa na povu kiasi hicho?
Ninajua mkuu sijabahatisha hivi angekuwa mtz amepotea kuna chochote kingeendelea nafahamu nilichomaanisha akili kubwa atanielewawatu wa roporopo hawa hapa.....
Akili kubwa atanielewa ila toto ya mama haezi elewaWewe jamaa kweli nyumbu. Unajua Miguna ni raia wa nchi gani
Mkuu mwenye akili kubwa atanielewa tuhajui HATA ANACHOSEMA maana hajui HATA miguna ni nini na iko wapi!!?
hii ndiyo misukule ya mambe kimangi ambayo inamfuata kokote aendako pia amewashikia akili hawajielewi.
CC: rutegeramisi gwategera
Mkuu tatizo ni uwezo wako wa kufikiri huwezi ni elewa daimaahaaa haaa haaa Mimi mtu yeyote anaye ongea issue za kinyonge nampa jiwe kii!!
HahahahaKenya nao kutekana wamo
Unakurupuka kama Nyumbu wa SerengetiTz ya viwanda