Barabara kuu inayounganisha Kenya na Tanzania mjini Migori, imefungwa kupinga kutoweka kwa Miguna Miguna

nilishasema huu ni mtego kwa Uhuru Kenyatta akijaribu kumkamata odinga tu itakula kwake!!!
 
ahaaa haaa haaa Mimi mtu yeyote anaye ongea issue za kinyonge nampa jiwe kii!!
Nyang'au wamekuweza sasa umewapindukia watz wenzako? Unadhani ni wote huwa wanakesha hapa Kenya News kama wewe? Waache waongee, si nilidhani mnataka sisi wakenya tuige demokrasia ya Tz? 😉
 
Wewe jamaa kweli nyumbu. Unajua Miguna ni raia wa nchi gani
Wao wamepewa kaz ya kuchafua tanzania tu
So kaambiwa akiona jina la nchi yake tanzania tu achafue kwa neno lolote yan
 
Ninajua mkuu sijabahatisha hivi angekuwa mtz amepotea kuna chochote kingeendelea nafahamu nilichomaanisha akili kubwa atanielewa
Huna lolote bhana
Tatizo lenu huwa mnajiona viiiiiiiiichwaaa
kumbe ba-vichwa maji
 
sio rahisi atoweke..
icc itahamia kenya. miguna ana washabiki na wafuasi wengi sana,,
Wafuasi gani? Rudi kwenye matokeo ya uchaguzi wa Ugavana wa Nairobi agosti nane, mwaka uliopita. Hapo utaona kura alizopata, hata hausigeli wake sidhani alimpigia kura. Wagombea wenzake walipata mamia ya maelfu ya kura yeye hata mia tano tu kufikisha ilikuwa ni ishu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…