Asante kwa kuniongezea miaka maana nimecheka sana.
Ni Judge aliyemuapisha Odinga.Miguna ni mnyama gani?
Miguna Miguna kashikiliwa na polisi.
Hehehe una'bore' zaidi ya MC Pilipili! 😀Kweli kashikiliwa na polisi sawa alakini, onyesa yeye au peleka yeye mahakamani. Hapana kuja nasema ati; Tumepeleka yeye Kajiado mahakamani. Kwani usimpe nafasi hata ya kusalamiana na muke yake??
Otaona ile moto nawaka kama haitaonesa yeye. Sisi nangojea baba iseme tufanye nini.
Mkuu tatizo ni uwezo wako wa kufikiri huwezi ni elewa daima
Kama na bore angalia ile kitu natokea huko Narobi. Mbona ile mitu nawachia yeye saa ii. Hata usiku ya manane Miguna ya Miguna nawachiwa tu. Sasa iko wapi ile mineno iko nasema ati Sisi hapana wachia yeye. Mutarukaruka wee lakini misho nakubali wachia baba hiyo State House tuHehehe una'bore' zaidi ya MC Pilipili! 😀
Hehehehe wewe kinaaKama na bore angalia ile kitu natokea huko Narobi. Mbona ile mitu nawachia yeye saa ii. Hata usiku ya manane Miguna ya Miguna nawachiwa tu. Sasa iko wapi ile mineno iko nasema ati Sisi hapana wachia yeye. Mutarukaruka wee lakini misho nakubali wachia baba hiyo State House tu
sasa si uelimishe hiyo miguna nini hata mimi sijui naona unatukana tu wa tz bhanwhajui HATA ANACHOSEMA maana hajui HATA miguna ni nini na iko wapi!!?
hii ndiyo misukule ya mambe kimangi ambayo inamfuata kokote aendako pia amewashikia akili hawajielewi.
CC: rutegeramisi gwategera
Kwa hiyo wewe unayesema hajui Miguna iko wapi ndo mjuzi? Mbona kiwango chenu cha uelewa kinalingana tu?hajui HATA ANACHOSEMA maana hajui HATA miguna ni nini na iko wapi!!?
hii ndiyo misukule ya mambe kimangi ambayo inamfuata kokote aendako pia amewashikia akili hawajielewi.
CC: rutegeramisi gwategera
Wakikujibu uni tagHivi miguna miguna ni nini?
sasa si uelimishe hiyo miguna nini hata mimi sijui naona unatukana tu wa tz bhanw
Haha kweli nimecheka sana. Kiswahili chako ni kibovu kweliKweli kashikiliwa na polisi sawa alakini, onyesa yeye au peleka yeye mahakamani. Hapana kuja nasema ati; Tumepeleka yeye Kajiado mahakamani. Kwani usimpe nafasi hata ya kusalamiana na muke yake??
Otaona ile moto nawaka kama haitaonesa yeye. Sisi nangojea baba iseme tufanye nini.
Haha kweli nimecheka sana. Kiswahili chako ni kibovu kweli
Kumbe ni mtu tena mzungu?Nilifikiri ni chombo fulani hivi.nasikia kapakizwa kwenye ndege na kurudishwa canada.
Huyo ni mtanzania flani tu, sijui ni stimu za mbege zinamsumbua au ni za wanzuki. Ukiona mtu anasema kuboa badala ya kuboo, kama wanavosema kwa lugha ya sheng, usikuhadae ukadhani ni mkenya.Haha kweli nimecheka sana. Kiswahili chako ni kibovu kweli