KERO Barabara kuu ya Buzuruga - Nyasaka - Airport jijini Mwanza ina mashimo muda mrefu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Your browser is not able to display this video.


Barabara kuu inayotoka Buzuruga kuelekea Nyasaka hadi kuungana na Airport Road jijini Mwanza ina mashimo mengi ambayo yamekuwepo kwa zaidi ya miezi sita bila kutatuliwa.

Hali hii inasababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara na inaweza kuhatarisha usalama wao. Tunaomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua za haraka kukarabati barabara hiyo ili kurahisisha usafiri na kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…