Barabara Kuu ya Dar-Tunduma imefungwa kwa saa mbili hadi sasa

View attachment 2343827View attachment 2343828
Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa.

Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa.
Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita.

Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini.

Hii ni absurdity at its best.
Unafunga biashara ya Zambia, Congo, Malawi na mikoa yote ya Nyanda za juu Kusini ili shughuli ya Mwenge ifanyike.

Mimi ni mwana CCM, lakini haya ni matumizi MABAYA ya Mwenge.

Waziri wa Ujenzi na CCM ni vyema wajue jinsi hili linavyo hujumu biashara na shughuli za uchumi.
Hivi watu wengine mkoje? Hujui umuhimu wa mwenge wa uhuru? Unataka kutuambia shughuli za maendeleo na haraka za wananchi ni vitu muhimu kuliko mwenge? Tuko watu milioni 60. Hata wakifa mia moja kwa sababu ya kucheleweshewa matibabu kuna hasara gani? Hebu acheni CCM itekeleze sera zake kwa vitendo. CCM hoyee! ma-V 8 hoyee! Udumu mwenge!
 
View attachment 2343827View attachment 2343828
Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa.

Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa.
Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita.

Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini.

Hii ni absurdity at its best.
Unafunga biashara ya Zambia, Congo, Malawi na mikoa yote ya Nyanda za juu Kusini ili shughuli ya Mwenge ifanyike.

Mimi ni mwana CCM, lakini haya ni matumizi MABAYA ya Mwenge.

Waziri wa Ujenzi na CCM ni vyema wajue jinsi hili linavyo hujumu biashara na shughuli za uchumi.
Sikujua tunaongozwa na mtaahira wa kiwango hiki, kama ni kweli shughuli ya Mwenge ndio inafanya uhujumu ichumi hivi?! Hapana, this is unacceptable!
 
View attachment 2343827View attachment 2343828
Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa.

Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa.
Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita.

Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini.

Hii ni absurdity at its best.
Unafunga biashara ya Zambia, Congo, Malawi na mikoa yote ya Nyanda za juu Kusini ili shughuli ya Mwenge ifanyike.

Mimi ni mwana CCM, lakini haya ni matumizi MABAYA ya Mwenge.

Waziri wa Ujenzi na CCM ni vyema wajue jinsi hili linavyo hujumu biashara na shughuli za uchumi.
Biashara haina umuhimu kuliko mwenge.
 
kama kuna mtu angekuwa anafanya assesment ya kujua production loss/hour vs Faida/hour sidhani kama kuna ujinga mwingine tungekuwa tunafanya.

Shida kubwa ni hizi CV's za kisiasa kwenye mifumo na kuruhusu CCM ndio iwe mhimili wakila jambo huku CCM yenyewe ikiishi akili za 1961.

Shida kubwa ya CCM ni kuogopa kubadili modal ya kiutawala and shifting to modern style of management kwa uoga wa watu fulani kuogopa kukaa nje ya mifumo na kukosa kabisa influence kwenye Taifa.

CCM + TISS + JWTZ wameshindwa kufikiri namna mpya ya kulilinda Taifa na kudumisha usalama baadala yake bado wanaamini fikra zile za Nyerere na wale wazee wa zamani bado zikienziwe ndio Tanzania itaendelea kuwa salama na changing management system politically and econimically wanaamini Taifa litaanguka na CCM itaanguka.

TISS na JWTZ hamtakiwi kuhofia tena anguko la CCM au mabadiriko ya kimfumo mnapaswa tu kuhakikisha all security aspect zimezingatiwa na its self kushift. Kifupi TISS na JWTZ mnapaswa kuwa miles nyingi mbele kuliko kila kitu. TISS na JWTZ mnapaswa kustep away sasa kwenye mifumo ya kisiasa na kubaki kuwa independent entity kwa maslahi ya watanzania na Tanzania.
 
Mungu Niokoe na laana ya Uafrica

Tupo nyuma sanaa

Afu mwendesha mwenge ni nani hua??
 
Kaka nchini mwetu Ujanja Ujanja unakubalika kuliko akili
 
Ikitokea huo mwenge wa kishirikina unapita karibu na makazi yako jitahidi kuwafungia Watoto ndani na wasiwe sehemu ya ushirikina huu.

Tujitahidu kuwaelimisha Watoto wetu ukweli kuhusu ushirikina huu ulioletwa na Nyerere wakishirikiana na wazee wa Dar kuwapumbaza Watanzania, unapomkataa shetani na mambo yake yote maana yake ni pamoja na huu ushirikina.

Sikukubaliana na utawala wa Magufuli lakini angalau yeye ndio mtu pekee Ccm alikuwa na uwezo wa kuufuta huu ushirikina lakini nadhani aliambiwa ndio pumzi na hirizi ya Ccm kuwapumbaza Watanzania na kuwaswaga kama Ng'ombe.

Mwenge ni upagani na ushetani Kwa zaidi ya 100%
 
View attachment 2343827View attachment 2343828
Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa.

Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa.
Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita.

Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini.

Hii ni absurdity at its best.
Unafunga biashara ya Zambia, Congo, Malawi na mikoa yote ya Nyanda za juu Kusini ili shughuli ya Mwenge ifanyike.

Mimi ni mwana CCM, lakini haya ni matumizi MABAYA ya Mwenge.

Waziri wa Ujenzi na CCM ni vyema wajue jinsi hili linavyo hujumu biashara na shughuli za uchumi.
Wacha ujuaji wewe. Kila nchi ina mambo yake. Waambie Wamarekani waiondoe Statue of Liberty uone.
 
Mimi iko siku waliniweka pale Mbeya masaa matatu ati tusubiri Kassim Majaliwa apite.

Baada ya kupita tukaruhusiwa kwa sababu ya wingi wa Malori ikatokea ajali mbaya tukasubiri tena masaa matano.

Tuzilaumu tu IQ zetu hafifu, tusitafute Mchawi.
 
Back
Top Bottom