Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Marekani ni nchi ya Freemason, usiige vitu usivyovijuwa.Wacha ujuaji wewe. Kila nchi ina mambo yake. Waambie Wamarekani waiondoe Statue of Liberty uone.
Kuna mwenge wa olimpiki na kuna kifimbo cha malkia huu ni ushirikina mtupu.
Kama hujui kitu ni bora uombe kuelimishwa na waliokuzidi upeo.
Familia ya malkia Elizabeth ni damu ya kijini ndio wanatumia kifimbo cha malkia kuipumbaza dunia na kukizungusha common wealth countries.
Jiulize ni Kwa nini Marekani imetawaliwa na Uingereza lakini siyo mwanachama wa common wealth?