Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Marekani ni nchi ya Freemason, usiige vitu usivyovijuwa.Wacha ujuaji wewe. Kila nchi ina mambo yake. Waambie Wamarekani waiondoe Statue of Liberty uone.
Kha!,kha! Duh!,noma sana.Mwenge ndio mungu wao usiuchukulie poa.
Ktk ulimwengu wa roho unaona kama ni ujinga lakini kuna jambo zito hapo
Mpigieni mama, hao waratibu wa hiyo shughulia wana makamasi kichwani
Ndio sera zenu hizo kalalamike vikaoni!Mimi ni mwana CCM, lakini haya ni matumizi MABAYA ya Mwenge.
Mara magari yakiruhusiwa utasikia ajali kwasababu ya kugombania kuwahi
Siyo fair kabisa
Upuzi kama huu huwezi kiukuta Hapo CanadaKaka nchini mwetu Ujanja Ujanja unakubalika kuliko akili
Mimi Kila siku humu ndani jamvin nawashauri watu kama mambo magumu jiue commit suicide Ndo suluhishisho pekee la matatizo. Kuna haja Gani sasa ya kuendelea kuishi na kadhia kama hizi? Bora uondoke tu uwaachie linchi lao ukapumzike milele.Ndio sera zenu hizo kalalamike vikaoni!
Duh! Kumbe unaamini na majini!?Marekani ni nchi ya Freemason, usiige vitu usivyovijuwa.
Kuna mwenge wa olimpiki na kuna kifimbo cha malkia huu ni ushirikina mtupu.
Kama hujui kitu ni bora uombe kuelimishwa na waliokuzidi upeo.
Familia ya malkia Elizabeth ni damu ya kijini ndio wanatumia kifimbo cha malkia kuipumbaza dunia na kukizungusha common wealth countries.
Jiulize ni Kwa nini Marekani imetawaliwa na Uingereza lakini siyo mwanachama wa common wealth?
Kwanini hiyo mizigo isitumie reli ya Tazara.View attachment 2343827View attachment 2343828
Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa.
Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa.
Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita.
Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini.
Hii ni absurdity at its best.
Unafunga biashara ya Zambia, Congo, Malawi na mikoa yote ya Nyanda za juu Kusini ili shughuli ya Mwenge ifanyike.
Mimi ni mwana CCM, lakini haya ni matumizi MABAYA ya Mwenge.
Waziri wa Ujenzi na CCM ni vyema wajue jinsi hili linavyo hujumu biashara na shughuli za uchumi.
Upuzi kama huu huwezi kiukuta Hapo Canada
Watu walikuwa wanawahi border kwa shughuli za kibiashara, halafu barabara inafungwa for 4hrs, huo ufanisi kibiashara utatoka wapi?Uhafifu wa IQ zetu ndio unaotutesa, kuzuia shughuli za Uchumi ati unakimbiza moto😆
Halafu baadae tutamtafuta wa kumlaumu utasikia "Tunahujumiwa na Mabeberu"