Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Acha akili za ajabu.. kung'oa matairi ndio suluhisho? Nchi tajiri ila viwanda wameshindwa kujenga hata korosho tunapeleka nje.Kuna jamaa alisema ng'oeni matairi tukamuona wa ajabu ila nchi hii bila viboko punda hawaendi! Tuendelee kuwachekea tu
Eff off.Acha akili za ajabu.. kung'oa matairi ndio suluhisho? Nchi tajiri ila viwanda wameshindwa kujenga hata korosho tunapeleka nje. Walinunua mandege ya kijinga badala ya kujenga viwanda. Viwanda = exports + ajira + kipato kizuri. Watu wakiwa na vipato vizuri, mambo kama haya hayatakuwepo. Inasikitisha kuona waAfrica wenye akili kama zako.
Safi kabisa, mji utaonekana vizuli.Wanaume waliozoea bangi sasa wameingia Dar.
Na wana usongo na barabara mpya ya Mwenge mpaka Morocco...
Hawana macho.Hata hivyo neno "vinapopolewa" una maanisha nini?Nipo kijiji cha Kumshindwi hapa Kigoma najifunza kiswahili kupitia JF.Wanaume waliozoea bangi sasa wameingia Dar.
Na wana usongo na barabara mpya ya Mwenge mpaka Morocco...
We jamaa ndio mjinga kabisa aisee. Kipato kizuri utakipata wapi bila ya kuwa na miundombinu bora? Kipato kizuri utakipata wapi bila kufanya kazi na kutunza mali ulizonazo?Acha akili za ajabu.. kung'oa matairi ndio suluhisho? Nchi tajiri ila viwanda wameshindwa kujenga hata korosho tunapeleka nje. Walinunua mandege ya kijinga badala ya kujenga viwanda
Mandege yamewasaidia waTz nini? WaTz kama ww mnaosapoti ujinga wa serikali yetu ndio maana umaskini hautaisha. Miundo mbinu kwa tz ni viwanda na barabara na sio mandege. Ni kuendeleza viwanja vya ndege na sio kujenga kiwanja cha kipuuzi chato.We jamaa ndio mjinga kabisa aisee. Kipato kizuri utakipata wapi bila ya kuwa na miundombinu bora? Kipato kizuri utakipata wapi bila kufanya kazi na kutunza mali ulizonazo? Umasikini wako unatokana na tabia kama hizo za kishenzi za kuharibu mali.. shwain kabisaa wewee..
Hapa ndipo ninapokata tamaa na waganga wetu wa kienyeji. Ingekuwa wanafanya kazi kwa kitu kama hiki, hakyaMungu nikimpata mganga/ mchawi anaeweza kuloga hao wahalifu/waharibifu nawaloga.Wanaume waliozoea bangi sasa wameingia Dar.
Na wana usongo na barabara mpya ya Mwenge mpaka Morocco. Sina uhakika kama brabara hii imeshazinduliwa , na sasa tayari jamaa wanapopoa vibanda ambavyo havina hata miezi minne.
Vibanda vya mabasi vinapopolewa na mabasi ya daladala , utafikiri madereva wake hawana akili nzuri.
Kuna mtu aliwahi kusema mswahili aliyezoea gari la punda, kumleta mjini atajitanua kama zote.
View attachment 1956220
Hapa ndipo ninapokata tamaa na waganga wetu wa kienyeji. Ingekuwa wanafanya kazi kwa kitu kama hiki, hakyaMungu nikimpata mganga/ mchawi anaeweza kuloga hao wahalifu/waharibifu nawaloga.