St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
[SUB]Atakayemchagua Mdee uchaguzi huu anastahili kupimwa akili yake..[/SUB]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera lakini traffic count ya barabara hizi ni ndogo sana kuliko hiyo barabara niliyoitaja, Makonde-Baraza la Mitihani hadi junction ya barabara ya Goba.Hivi nyie mnapiga kula au umeamka ukaona uwongee ya mdee huyo ngwajima kwa kawe apana bora tuumpe mdee aendelee
Na sio barabara hiyo tu. Barabara zote za jimbo la kawe ni mahandaki. Halima hajasikika hata siku moja akizizungumzia. Yeye amekazana kutukana watu tu.Hongera lakini traffic count ya barabara hizi ni ndogo sana kuliko hiyo barabara niliyoitaja, Makonde-Baraza la Mitihani hadi junction ya barabara ya Goba.
Na nieleweke , siyo kwamba haina umuhimu.
Kiujumla Halima Hastahili kutuwakilisha ili tupate maendeleo.
Na diwani kafanya nini? vipi mwenyekiti wa mtaa? kuwa fairMiaka yote Halima kakalia kiti cha ubunge imekuwa batili kwa wananchi wa Mbezi.
Ameshindwa kuhamasisha watu na hata yeye mwenyewe kushauri vyombo husika kutatua kero za wananchi wa Mbezi hususan barabara.
Halime mara zote amefungwa kutetea chama chake tu na si wananchi wa Mbezi/Kawe.
Huyo kilaza hajui kazi ya mbunge ndiyo maana analeta utopolo wake hapa.Halima amefanya vizuri sana Kawe. Huyu mtoa mada either sio mkazi wa jimbo ama ana chuki binafsi na Mh. Mdee
Halima hawezi kuondoka kwa kura za ndani ya sanduku, ataondoka kwa maamuzi ya ofisini.Barabara ya Makonde-Baraza la Mitihani hadi kuunga Goba rd, ni kiungo muhimu sana kwa wakazi wa Mbezi.
Barabara hii ni kubwa sana na kulu Mbezi Juu kuna vigogo muhimu kama Katibu zMkuu TAMISEMI na mkuu wa TAKUKURU,ambao kwa nyadhifa zao kukaa kule ni lazima zingepata jicho la utofauti.
Mbunge Halima Mdee hajawahi kusikika si bungeni tu hata kwenye vyombo vya habari, akipigia chapuo ujenzi wa barabara hii.
Makonda pamoja na ugeni wake jijini ingalau aliipigia debe barabara ya Afrikana-Salasala na ujenzi ulianza.
Wananchi wa sehemu hizo wameapa kumzomea Halima Mdee kila atakapokuwa kama akijidai kufika kuomba kura sehemu hizo.
Kwa sasa hivi barabara hii inatunzwa kwa kujitolea na mkazi wa sehemu hizo ambaye ni mkandarasi, na kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 15.
Sasa naona anaishiwa vocha!
Wananchi wanataka mbunge, na si Halima Mdee, atakaye wasiliana na TARURA kupigia chapuo ujenzi wa barabara hii.
??????Halima hawezi kuondoka kwa kura za ndani ya sanduku, ataondoka kwa maamuzi ya ofisini.
Kazi za mbunge Halima ni kumkeep kmpni Ester Bulaya au?Huyo kilaza hajui kazi ya mbunge ndiyo maana analeta utopolo wake hapa.
Haihitaji PhD kutambua akili zilizochanganyika na haja kubwa,siku zote zinajadili watu badala ya kujenga hoja.Kazi za mbunge Halima ni kumkeep kmpni Ester Bulaya au?
Ndicho mlichomtuma?
Siasa za awamu hii ni za kishamba sana!! Sasa halima afanye nini wakati kikwazo kinajulikana ni nini?! Unasikia mtu tena msomi anajisifia kuwa eti mbona barabara za tandare zimewekewa lami, hajui kuwa huo ni mradi maalum wa WB,? Ubungo nako si hivyo hivyo, kibamba?!! Siasa za kishambaa sana!!Barabara ya Makonde-Baraza la Mitihani hadi kuunga Goba rd, ni kiungo muhimu sana kwa wakazi wa Mbezi.
Barabara hii ni kubwa sana na kulu Mbezi Juu kuna vigogo muhimu kama Katibu zMkuu TAMISEMI na mkuu wa TAKUKURU,ambao kwa nyadhifa zao kukaa kule ni lazima zingepata jicho la utofauti.
Mbunge Halima Mdee hajawahi kusikika si bungeni tu hata kwenye vyombo vya habari, akipigia chapuo ujenzi wa barabara hii.
Makonda pamoja na ugeni wake jijini ingalau aliipigia debe barabara ya Afrikana-Salasala na ujenzi ulianza.
Wananchi wa sehemu hizo wameapa kumzomea Halima Mdee kila atakapokuwa kama akijidai kufika kuomba kura sehemu hizo.
Kwa sasa hivi barabara hii inatunzwa kwa kujitolea na mkazi wa sehemu hizo ambaye ni mkandarasi, na kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 15.
Sasa naona anaishiwa vocha!
Wananchi wanataka mbunge, na si Halima Mdee, atakaye wasiliana na TARURA kupigia chapuo ujenzi wa barabara hii.
Mlitaka mmteke nayeye ?ila halima kachemka aisee , niko hapa bunju mwaka wa nne sasa sijawahi kuona ametia mguu pamoja na changamoto kibao lakini holaaa! kazi kwake aisee
Pesa anatoka mtu mmoja tu na majibu huwa tunayapata kwenye mkutano yake shauri ya viherehere vyenu kuchagua upinzani!Jimbo zima la kawe suala la barabara na mifereji halima ameshindwa kulipigania.
Kuna maeneo kama ya Mbweni Malindi, Kwa Shamte, Teta, JKT na Ununio hakuna mifereji mikubwa ya maji inayopeleka maji baharini mvua zinaponyesha haya maeneo hugeuka visiwa kwa ujaaji wa maji.
Ili hali kinondoni mpaka vichochoro vimepigwa lami, Kinondoni Bwawani kumejengwa mifereji mafuriko tena hakuna.
#2020 Kawe twende na Timoth au Furaha au Pascal Mayalla. CCm Oyeee.
Wewe siyo mwanakawe,wewe Ni wa kawekamoSisi wanakawe hata hatutaki kumsikia
Mataga yalishadanganywa kwamba barabara,maji,umeme,shule nk Ni kazi ya mbunge.Sasa hivi yanadanganywa eti uchumi wa chini kati wakati bado yanalipwa 7000.Sasa halima ndo anayekusanya Kodi za wanakawe?Mimi binafsi nimeisikia akizungumzia hiyo barabara na bado serikali haijajenga.Sasa kosa la mbunge Ni Lipi?Na je ndani ya kawe hakuna barabara iliyojengwa 2015-20?Kama ipo Basi kumbe anaweza kuwasiliana na Tarura lakini so jukumu la mbunge kujenga barabara nashangaa hata wewe mabambas hujui hili
Pesa anatoka mtu mmoja tu na majibu huwa tunayapata kwenye mkutano yake shauri ya viherehere vyenu kuchagua upinzani!
Kosa lake ni kukosa nidhamu pale anapoongea na wanaoweza kufanya kile anachotaka yeye kama muwakilishi wa wananchi,kwa kua walimchagua acha wasote.. mwanamke gani hata kama unataka kuonekana bungeni unaropoka na kukosea watu heshima kwa kujifanya anapanga maneno chungu mzima,kiufupi wabunge wa upinzani wengi wao huongelea sifa,kusikika ili kuweka story mitaani na wivu wa kukalia madaraka wanayo tamani kutoka kwa wengine hasa chama kinachoongoza nchiSasa halima ndo anayekusanya Kodi za wanakawe?Mimi binafsi nimeisikia akizungumzia hiyo barabara na bado serikali haijajenga.Sasa kosa la mbunge Ni Lipi?Na je ndani ya kawe hakuna barabara iliyojengwa 2015-20?Kama ipo Basi kumbe anaweza kuwasiliana na Tarura lakini so jukumu la mbunge kujenga barabara nashangaa hata wewe mabambas hujui hili
Barabara ya Makonde-Baraza la Mitihani hadi kuunga Goba rd, ni kiungo muhimu sana kwa wakazi wa Mbezi.
Barabara hii ni kubwa sana na kulu Mbezi Juu kuna vigogo muhimu kama Katibu zMkuu TAMISEMI na mkuu wa TAKUKURU,ambao kwa nyadhifa zao kukaa kule ni lazima zingepata jicho la utofauti.
Mbunge Halima Mdee hajawahi kusikika si bungeni tu hata kwenye vyombo vya habari, akipigia chapuo ujenzi wa barabara hii.
Makonda pamoja na ugeni wake jijini ingalau aliipigia debe barabara ya Afrikana-Salasala na ujenzi ulianza.
Wananchi wa sehemu hizo wameapa kumzomea Halima Mdee kila atakapokuwa kama akijidai kufika kuomba kura sehemu hizo.
Kwa sasa hivi barabara hii inatunzwa kwa kujitolea na mkazi wa sehemu hizo ambaye ni mkandarasi, na kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 15.
Sasa naona anaishiwa vocha!
Wananchi wanataka mbunge, na si Halima Mdee, atakaye wasiliana na TARURA kupigia chapuo ujenzi wa barabara hii.
Sasa halima ndo anayekusanya Kodi za wanakawe?Mimi binafsi nimeisikia akizungumzia hiyo barabara na bado serikali haijajenga.Sasa kosa la mbunge Ni Lipi?Na je ndani ya kawe hakuna barabara iliyojengwa 2015-20?Kama ipo Basi kumbe anaweza kuwasiliana na Tarura lakini so jukumu la mbunge kujenga barabara nashangaa hata wewe mabambas hujui hili
ila halima kachemka aisee , niko hapa bunju mwaka wa nne sasa sijawahi kuona ametia mguu pamoja na changamoto kibao lakini holaaa! kazi kwake aisee