Barabara muhimu itakayomuondoa Halima Mdee, Makonde-Baraza la Mitihani-Goba rd

Hivi nyie mnapiga kula au umeamka ukaona uwongee ya mdee huyo ngwajima kwa kawe apana bora tuumpe mdee aendelee
Hongera lakini traffic count ya barabara hizi ni ndogo sana kuliko hiyo barabara niliyoitaja, Makonde-Baraza la Mitihani hadi junction ya barabara ya Goba.
Na nieleweke , siyo kwamba haina umuhimu.

Kiujumla Halima Hastahili kutuwakilisha ili tupate maendeleo.
 
Na sio barabara hiyo tu. Barabara zote za jimbo la kawe ni mahandaki. Halima hajasikika hata siku moja akizizungumzia. Yeye amekazana kutukana watu tu.
 
Na diwani kafanya nini? vipi mwenyekiti wa mtaa? kuwa fair
 
Halima hawezi kuondoka kwa kura za ndani ya sanduku, ataondoka kwa maamuzi ya ofisini.
 
Siasa za awamu hii ni za kishamba sana!! Sasa halima afanye nini wakati kikwazo kinajulikana ni nini?! Unasikia mtu tena msomi anajisifia kuwa eti mbona barabara za tandare zimewekewa lami, hajui kuwa huo ni mradi maalum wa WB,? Ubungo nako si hivyo hivyo, kibamba?!! Siasa za kishambaa sana!!
 
Jimbo zima la kawe suala la barabara na mifereji halima ameshindwa kulipigania.

Kuna maeneo kama ya Mbweni Malindi, Kwa Shamte, Teta, JKT na Ununio hakuna mifereji mikubwa ya maji inayopeleka maji baharini mvua zinaponyesha haya maeneo hugeuka visiwa kwa ujaaji wa maji.

Ili hali kinondoni mpaka vichochoro vimepigwa lami, Kinondoni Bwawani kumejengwa mifereji mafuriko tena hakuna.

#2020 Kawe twende na Timoth au Furaha au Pascal Mayalla. CCm Oyeee.
 
Pesa anatoka mtu mmoja tu na majibu huwa tunayapata kwenye mkutano yake shauri ya viherehere vyenu kuchagua upinzani!
 
Mataga yalishadanganywa kwamba barabara,maji,umeme,shule nk Ni kazi ya mbunge.Sasa hivi yanadanganywa eti uchumi wa chini kati wakati bado yanalipwa 7000.
 
Pesa anatoka mtu mmoja tu na majibu huwa tunayapata kwenye mkutano yake shauri ya viherehere vyenu kuchagua upinzani!


Kwani kuchagua upinzani ni kosa?
Mbona wapo kikatiba?!

Ishu haipaswi kuwa CCM au chama cha upinzani ishu inapaswa kuwa mtu mahiri wa kuweza kuwakilisha wananchi vyema .

Hata upinzani mfano wakibadilisha mgombea jimbo la kawe wakamuweka mwingine mfano wakamuweka mgombea kuwa John Heche Yani nakuambia atashinda kwa kishindo kikubwa sana.

Hatupaswi kuangalia wa chama gani tunapaswa kuangalia mtu gani!

Ndiyo maana kwa kuwa chadema wameendelea kumuacha Halima kuwa mgombea wao basi hali hiyo inafanya watu waanze kuangalia wagombea wa vyama vingine ikiwemo CCM
 
Kosa lake ni kukosa nidhamu pale anapoongea na wanaoweza kufanya kile anachotaka yeye kama muwakilishi wa wananchi,kwa kua walimchagua acha wasote.. mwanamke gani hata kama unataka kuonekana bungeni unaropoka na kukosea watu heshima kwa kujifanya anapanga maneno chungu mzima,kiufupi wabunge wa upinzani wengi wao huongelea sifa,kusikika ili kuweka story mitaani na wivu wa kukalia madaraka wanayo tamani kutoka kwa wengine hasa chama kinachoongoza nchi
 
Naona umesha pigwa sindano ya ukabila na sasa dawa imefanya kazi ipasavyo.

Tanzania yetu haiwezi kutawaliwa kikabila kama mnavyo jidanganya, na mjue kabila lenu halita weza.
 
Wachana nao hao waendekeza ukabila kisa baba yupo basi wanajiona wao ndiyo wanaweza kuitawala nchi mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…