Barabara muhimu itakayomuondoa Halima Mdee, Makonde-Baraza la Mitihani-Goba rd

miaka mitano ameishia kwenda mahakani na central police tu...ni mpuuzi yule dada
alafu huyu ukimsimamisha sasa hivi unategemea nn ...bora ccm haohao tu dada yule mpuuzi kupindukia
 
Halima nampenda awe mpenzi.
Akikubali namwachisha ubunge/siasa
 
Mbunge hajengi barabara

Hiyo barabara Ni kazi ya tarura
 
Tunahitaji mtu atakayeongea na kueleweka na TARURA, Halima hawezi.
Sio kazi yake

Ni kazi ya tarura, wizara husika na DED wa kawe na afisa mipango wao

Mbunge atakachofanya Ni kuonyesha umuhimu wa kutatua kero

Diwani wa hapo Ni Nani? Wa chama gani na amefanya Nini?
 
Miaka mitano hatujawahi kumwona akipiga jimboni Kawe kutatua kero za barabara.
Makonda kaja na kaingilia barabara mbovu ya Salasala, ingalau inatengenezwa kiwango cha lami.
Wewe mwenyewe ni wa kuja kawe. Kwani umeambiwa ukiwa mbunge unamilikishwa magari ya kitengeneza barabara?.
 
Sio kazi yake

Ni kazi ya tarura, wizara husika na DED wa kawe na afisa mipango wao

Mbunge atakachofanya Ni kuonyesha umuhimu wa kutatua kero

Diwani wa hapo Ni Nani? Wa chama gani na amefanya Nini?
Wewe mwenyewe ni wa kuja kawe. Kwani umeambiwa ukiwa mbunge unamilikishwa magari ya kitengeneza barabara?.
Halima ache uboya, na aende zake.
Nafasi itachukuliwa na ma Master of Ceremony wa kisiasa wanaojua nini kinatakiwa na wanachi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…