Mejjah92
Member
- May 21, 2021
- 36
- 32
Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo.
Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu kupark.....?
Wahusika wamejisahau JPM angekuwepo hii barabara inafanya kazi🚍🚍🚍