Maguguma
Member
- Mar 13, 2023
- 13
- 7
Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida toka eneo moja kwenda eneo lingine.
Inayoonekana katika picha ni barabara iliyopo katika Kata ya Mipotopoto. Barabara hiyo inaunganisha Kijiji Cha Uhuru na Mitomoni inayopitia hifadhi ya Liparamba (Wilaya ya Nyasa).
Barabara nyingi zinatapakaa matope na mashimo makubwa yanayotokana na mvua. Kuna haja ya kuziboresha kwa kiwango bora.
Pia soma ~ Serikali inatarajiwa kuanza ujenzi Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma