KERO Barabara Rusahunga Benaco haipitiki kwa nini Tanroads Biharamulo wasitumbuliwe?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ushauri wa bure kwa serikali ya awamu hii. Tumbueni hawa Tanroads Biharamulo. Sanjali na hili yaweza kuwa busara kuifunga kabisa barabara ya Rusahunga Benaco na ku i declare impassable kupisha ajali zinazoendelea kutokea kila uchao kabla ya kuleta maafa makubwa zaidi.

Barabara hii ni sehemu ya barabara kuu iendayo nchi jirani za Burundi, Rwanda na Congo. Sehemu kubwa ya Rusahunga hadi Benaco kwa hali iliyo nayo ni aibu kuwa serikali inapata mapato kwa kuitegemea kwani kwa ujumla haipitiki kabisa.

Hivi sasa sehemu ijulikanayo kama ngazi saba hali ni mbaya zaidi. Pana mashimo makubwa katikati ya barabara ambayo pia yame pelekea malori ya mizigo kuanguka na kufanya kupita katika njia hii ni suala la hatari sana.

Ni ajabu kuwa je maeneo haya yana wabunge, wakuu wa wilaya au wakuu wa mikoa? Je viongozi wa serikali hii wa nafasi tofauti wanasafiri katika barabara hii?

Ushauri wa bure kwa serikali. Kabla ya yale ya mv Nyerere na zingine ilikuwa vyema kuwawajibisha Tanroads na labda kuchukua hatua za haraka na dharura mno za kuifunga kabisa barabara hii.

Ni aibu na hali ya kukosa uwajibikaji kwa awaye yoyote kulea uozo wa vipande vya barabara ka hizi.

Ningali napambana ku upload hali halisi ya ajali na mashimo katika barabara hii kama ilivyokuwa leo.

Pathetic!

Pichani ni lori lililopata ajali ngazi saba katika barabara hii lilopelekea uzi huu. Lori hili mara baada ya uzi huu lilitolewa haraka haraka na kuvuta hadi nyakahura mizani. Sababu ya ajali - barabara mbovu.

Pia, soma; Sasa barabara ya Lusahunga – Rusumo yenye urefu wa kilomita 92, kujengwa kwa Bilioni 153
 
Hiyo barabara ina manufaa gani kwa nchi. Ni trunk road au regional road
 
Hiyo barabara si iko under construction? Unailaumu serikali bure tu!
 
Hiyo barabara si iko under construction? Unailaumu serikali bure tu!

Mkuu subiria picha uone. Kwa nini kuandikia mate? Hapo hakuna barabara wala theme ya construction.

Uko kwenye flyover ya wapi wewe pita kule uone. Hapana construction Rusahunga - Benaco yet hata maintenance tu haipo.

Makali ya barabara hii na hali yake wewe yasiyo kusibu uta ya feel vipi?
 
Kwani mkuu hao Strabag wanaishia wapi kujenga hiyo barabara? Maana Mimi ninachojua ni Isaka-Rusumo! Na sasa hivi wako katikati ya Nyakanazi na Rusahunga. Hivyo tuwe wavumilivu tu!
 
Kwani mkuu hao Strabag wanaishia wapi kujenga hiyo barabara? Maana Mimi ninachojua ni Isaka-Rusumo! Na sasa hivi wako katikati ya Nyakanazi na Rusahunga. Hivyo tuwe wavumilivu tu!

Sina hakika kama pia Strabag wanajenga pia Rusahunga - Benaco. Hata wanajenga ina maana hata kuziba mashimo kutasubiria ujenzi unaotarajiwa labda miaka kadhaa kuanza? Kama ni hivyo Tanroads ni ya nini?
 
Halafu instanbul kila siku anajigamba Kagera mambo safi, kumbe road hamna
We nawe!!! Kwani hainaga lami? Lami IPO ila ilijengwa chini ya kiwango enzi zile za zamani hivyo imearibika Sana kutokana na kuzidiwa uzito wa maroli makubwa yanayoelekea Rwanda na Burundi.

Na ni kipande Tu cha lusahunga benacco huko ngara.
Na chenyewe kinatengenezwa.
 
Sasa mbona unajigamba as if njia zote ni lami?
 
Sasa mbona unajigamba as if njia zote ni lami?
We ni kichwa ngumu kuelewa.
Nimesema hiyo sehemu ilikuwa na lami kabla Ila ilikuja kuaribika baadae

Lusahunga benacco ni moja ya sehemu zililokuwa na lami tangu zamani maana zinaunganisha tz , Rwanda na Burundi
 
Ndiyo hivyo sasa usiwe unalinganisha Barbara mbovu na zile lami za Mkoa wa Kilimanjaro zinazounganisha mkoa mzima na zina kiwango na hazina mashimo na mahandaki
 
Ndiyo hivyo sasa usiwe unalinganisha Barbara mbovu na zile lami za Mkoa wa Kilimanjaro zinazounganisha mkoa mzima na zina kiwango na hazina mashimo na mahandaki
Kwanza utalinganishaje Kagera na Kilimanjaro wakati Ka Kilimanjaro kenyewe kanaingia mara tatu Kwa Kagera yaani ni Sawa na hifadhi Tu za burigi na biharamulo.

Halafu eti mkoa nzima Una lami!!! Angalia nisije nikakuumbua hapa.hebu nitie mguu same
 
Sijakuambia ulinganishe mbuga na mkoa.
Hapa tunazungumzia Barabara za Mikoa ya Kilimanjaro na Kagera.
Ni kwamba, Kagera barabara nyingi zina mahandaki na mashimo na hazipitiki msimu wa mvua
 
Sijakuambia ulinganishe mbuga na mkoa.
Hapa tunazungumzia Barabara za Mikoa ya Kilimanjaro na Kagera.
Ni kwamba, Kagera barabara nyingi zina mahandaki na mashimo na hazipitiki msimu wa mvua
Hujanielewa wew.

Utalinganishaje mkoa wa Kagera ( Kilimanjaro inaingia mara tatu) na kamko kanakolingana wilaya ya muleba ?

Mjilingajishe na njombe huko na songwe sijui
 
Hujanielewa wew.
Utalinganishaje mkoa wa Kagera ( Kilimanjaro inaingia mara tatu) na kamko kanakolingana wilaya ya muleba ?
Mjilingajishe na njombe huko na songwe sijui

Sasa kama mkubwa, inakuwaje mnakosa kodi za kujengea barabara?

Au ukubwa wa pua haujasadifu wingi wa kamasi?
 
Sasa kama mkubwa, inakuwaje mnakosa kodi za kujengea barabara?

Au ukubwa wa pua haujasadifu wingi wa kamasi?
Hiv zimo lakini?

Kwani siku hiz tz ni federal state kwamba mikoa inajitegemea?

Tena unaongelea barabara kuu kama hiyo ya tanroads.

Anyway nitajie wilaya ya Kagera isiyounganishwa na lami.
 
Kwanza Tanroad biharamulo imetoka wapi jinga wewe uliwai ona wapi office za Tanroad za wilaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…