luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Hahaha amikijibu Ni tagSasa kama mkubwa, inakuwaje mnakosa kodi za kujengea barabara?
Au ukubwa wa pua haujasadifu wingi wa kamasi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha amikijibu Ni tagSasa kama mkubwa, inakuwaje mnakosa kodi za kujengea barabara?
Au ukubwa wa pua haujasadifu wingi wa kamasi?
Sasa mbona tunawaburuza kimaendeleo tangu uhuru? Ukubwa wenu kieneo una faida gan? Hahaha kichwa kikubwa akili kisudeWilaya moja tu ya Missenyi zimo Kilimanjaro 2
Wewe usitake kudanganya umma,njia ya lusahunga nyakanaz kwenda bmulo muleba karagwe haina njia hata mbili Ni ya kawaida naijua vilivyoNikujuze tu kuanzia Rusahunga biharamulo kwenda karagwe au kampla ndo kuna barabara pana njia tano kuliko sehemu yoyote nchi hii achana na barabara zenu upana wa kipande cha sabuni hii ya uku ni njia tano nikiwa na maana magari manne yanapita kwa wakati mmoja mawili kuja mawili kwenda na sehemu yawatembea kwa miguu mjinga wewe.
Yan mkuu nimeshangaa hiyo njia naijua vyema Ni ya kawaida Tena IPO kwenye ujenzi ati njia tano hahaha anadhan hatuujui mkoa wao? Njia mbili tu Hakuna sembuse tano?Njia tano zipo Dar peke yake labda na Mwanza.
Hiyo Barabara unayosema ninaijua, haina njia 5, ni njia mbili. Ya kwenda na kurudi.
Njia tano haziwezi kujengwa mkoa masikini kama wa Kagera.
Njia 5 zinajengwa kwenye mikoa yenye kipato kikubwa siyo nyie wavivu
Acha ushamba wew,hiyo njia yote kwanzia lusahunga nyakanaz imefumuliwa inajengwa upya sasa hizo njia tano ni zipi ? Au unadhan hatuijui hiyo njia? Kuna vitu vinachekesha kwa kweliPole sana kujifanya unafahamu kumbe ujui chochote nitakupigia picha upana wa hii barabara alafu ulinganishe na ile ya kwenu dar singida.
Wewe kweli umelewa rubisi vijij vya kagera havijafikia ubora wa kilimanjaro ndio maana ripoti inatuambia kuwa kilimanjaro wananchi Wana maisha bora kwa 90% wakati kagera ni 60% tu huoni tofauti?Mbona unaongea Kwa chuki na hasira meko?
Mbona unatoa povu kiasi hicho ? Vip unataka picha?
Hiv unaona vijiji vya Bukoba lakini? Huku ndo unalinganisha na huko uru na kishimundu?View attachment 1136842
Barabara zinatengenezwa zinakuwa na kualibika ile barabara ni potential kuliko mnavyofikilia nakinachokuja kutengenezwa hapo mtaanza kusujudu. Kumbuka mwenye nchi anatokea uko. Naomba msije kuleta thread za lawama umu ndani maana hakika nawaambia ujenzi unaoendelea toka ngara niwakipekee.Ukifika Nyakanazi unaiona kama Tanzania imeisha na unaingia nchi nyingine...eti kuna barabara!! Uliza kama kuna traffic barabarani, kama hutasikia wapo Mizani na Benaco.....na ukiwakuta hapo katikati basi ujue kuna ajali au wameenda kukamata majambazi
Ukifika Nyakanazi unaiona kama Tanzania imeisha na unaingia nchi nyingine...eti kuna barabara!! Uliza kama kuna traffic barabarani, kama hutasikia wapo Mizani na Benaco.....na ukiwakuta hapo katikati basi ujue kuna ajali au wameenda kukamata majambazi
Yan mkuu nimeshangaa hiyo njia naijua vyema Ni ya kawaida Tena IPO kwenye ujenzi ati njia tano hahaha anadhan hatuujui mkoa wao? Njia mbili tu Hakuna sembuse tano?
Waje washangae hii ya Arusha_moshi ambayo Ni double roadView attachment 1153808