KERO Barabara Rusahunga Benaco haipitiki kwa nini Tanroads Biharamulo wasitumbuliwe?

KERO Barabara Rusahunga Benaco haipitiki kwa nini Tanroads Biharamulo wasitumbuliwe?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Halafu instanbul kila siku anajigamba Kagera mambo safi, kumbe road hamna
Nikujuze tu kuanzia Rusahunga biharamulo kwenda karagwe au kampla ndo kuna barabara pana njia tano kuliko sehemu yoyote nchi hii achana na barabara zenu upana wa kipande cha sabuni hii ya uku ni njia tano nikiwa na maana magari manne yanapita kwa wakati mmoja mawili kuja mawili kwenda na sehemu yawatembea kwa miguu mjinga wewe.
 
Njia tano zipo Dar peke yake labda na Mwanza.

Hiyo Barabara unayosema ninaijua, haina njia 5, ni njia mbili. Ya kwenda na kurudi.

Njia tano haziwezi kujengwa mkoa masikini kama wa Kagera.

Njia 5 zinajengwa kwenye mikoa yenye kipato kikubwa siyo nyie wavivu
 
Pole sana kujifanya unafahamu kumbe ujui chochote nitakupigia picha upana wa hii barabara alafu ulinganishe na ile ya kwenu dar singida.
 
Pole sana kujifanya unafahamu kumbe ujui chochote nitakupigia picha upana wa hii barabara alafu ulinganishe na ile ya kwenu dar singida.

Taarifa zake hizo Barabara ninazo. Hakuna jipya ni high way ya kawaida, ila nyingi ni za vumbi na zina mahandaki
 
Njia tano zipo Dar peke yake labda na Mwanza.

Hiyo Barabara unayosema ninaijua, haina njia 5, ni njia mbili. Ya kwenda na kurudi.

Njia tano haziwezi kujengwa mkoa masikini kama wa Kagera.

Njia 5 zinajengwa kwenye mikoa yenye kipato kikubwa siyo nyie wavivu
Mbona unaongea Kwa chuki na hasira meko?

Mbona unatoa povu kiasi hicho ? Vip unataka picha?

Hiv unaona vijiji vya Bukoba lakini? Huku ndo unalinganisha na huko uru na kishimundu?
50170708_102473717479762_8096965731290526322_n%20(1).jpeg
 
Hiyo barabara ina manufaa gani kwa nchi. Ni trunk road au regional road

Mkuu heri wewe umeuliza. Ila katika uzi imeelezwa hii ni sehemu ya barabara kuu iendayo nchi jirani. Kwa maelezo hayo hii si regional road. Kwa maelezo hayo pia umuhimu wa barabara hii hasa hasa kuifanya bandari ya dar ishindane vilivyo na ile ya Mombasa kwa mizigo ya DRC, rwanda, Burundi na hata Uganda hauhitaji maelezo yoyote ya ziada. Au siyo mkuu?
 
Kama mpaka sasa hakuna picha.
Hapa tunajadili uzuri wa demu ambaye tumemuona gizani

Mkuu pamoja na kuwa nakuletea vuta subira kidogo. Kwa sababu pana ya MV Nyerere yanatunyemelea katika barabara hii nitafanya jitihada ya kuweka hadharani ajali zote zinzotokea barabara hii kwa ajili ya ubovu ninaoongelea.

Nilipoandika uzi huu palikuwa na ajali mbaya sababu ubovu wa barabara ngazi 7 kwenye barabara hii. Juzi ilikuwapo panapoitwa kona ya twiga, leo imetokea nyakahura.

Baada ya uzi ule haraka haraka walilitoa lori lile penye ajali na kulivuta hadi mizani ya nyakahura. Hili naliambatanisha pamoja kwenye maelezo ya uzi.

Mkuu tanroads wanajua yote ninayoyaandika ni wazi kuwa wamejisahau to own peril. Nadhani si sahihi muda wa kuwaumbua ni sasa.

Kama wana ubavu wakanushe haya nikiazima maneno ya Suleiman Ndugai tuweke mkeka hadharani.
 
Kwanza Tanroad biharamulo imetoka wapi jinga wewe uliwai ona wapi office za Tanroad za wilaya?

Hoja si werevu vis a vis ujanja wa kujua tanroads ana office za wilaya au la. Whatever the case tanroads anaye simamia ubora wa kipande cha Rusahunga - benako ambapo 99.99% ya hicho kipo wilaya ya biharamulo hawezi kukwepa lawama. Huyu ni awaye yote hata kama ni yule mwana mpendwa kabisa bwana mkubwa Mfugale.

Sisi ambao maisha yetu yanaweza hatarini na wazembe hawa tumefika mahali sasa hatutavunjwa mioyo na vikejeli uchwara vya viji setup structures vyenu. Zibeni mashimo hiyo ndiyo kazi yenu. Road fund ni kwa road maintenance si kwa familia zenu.
 
Barabara ya rusahunga Rusumo ni sehemu ya barabara kuu ielekeayo Rwanda. Barabara hii imetelekezwa vilivyo na tanroads na kuwa kupita katika njia hii ni Bomu linalo subiri muda tu.

Yale yale ya MV Nyerere na mengi yenye kufanana na hayo ambayo wananchi tunabakia kutolewa kafara kila uchao. Ni aibu kuwa tanroads wapo na kuwa ati kila mwisho wa mwezi wanapata mishahara na marupurupu yao yote pasi na kukosa.

Kwa uzi huu nitajitahidi kukusanya kuweka ajali zote zinasababishwa na ubovu wa barabara hii labda kwa njia hiyo hawa jamaa wataamka angalau na kunusu maisha yasiyokuwa na sababu ya kupotea.

Ushauri wa bure kwenu tanroads: fanyieni matengenezo barabara hii vinginevyo ifungeni kwani haifai kwa matumizi ya binadamu. Kwa hali ilivyo sasa ni janga linalosubiri muda tu.

Katika picha ni hali halisi ya hivi sasa na hizo ni ajali za karibuni kuanzia ya jana. Sababu ubovu wa barabara.
 
Alex Gashaza wewe ni mbunge wa Jimbo la Ngara ambako barabara hii ndiyo ikupelekayo bungeni. Najua ni kitu kimewashinda watangulizi wako. Hebu pigana uwaondolee adha wapiga kura wako wanaposafiri kutoka ngara to maeneo mengine kwa kutumia barabara hii. Oliva Semuguruka ungana na mwenzio kwenye hili. Unganeni na mbunge wa biharamulo. Sio mnakaa bungeni tuu mnakuna vitambi wakati hata kwenda huko bungeni mnapata shida mtumiapo barabara hii.
 
Hawa jamaa ni wabunge mzigo. Ni ajabu na kweli kuwa maeneo haya yana wawikilishi ya watu wanaotumia barabara hii. Hadi ituue ndiyo mtengeneze?
 
We nawe!!! Kwani hainaga lami? Lami IPO ila ilijengwa chini ya kiwango enzi zile za zamani hivyo imearibika Sana kutokana na kuzidiwa uzito wa maroli makubwa yanayoelekea Rwanda na Burundi.

Na ni kipande Tu cha lusahunga benacco huko ngara.
Na chenyewe kinatengenezwa.
Kwanzia nyakanaz, lusahunga,benaco hadi rusumo barabara ni mbovu mno ni aibu barabara ya kitaifa Kama hiyo kuwa ktk Hali hiyo,manake barabara hiyo inaunganisha Burundi
 
Ndiyo hivyo sasa usiwe unalinganisha Barbara mbovu na zile lami za Mkoa wa Kilimanjaro zinazounganisha mkoa mzima na zina kiwango na hazina mashimo na mahandaki
Naam sio tu zinazounganisha wilaya kwa wilaya,Bali Pia migomban lami zimekatiza huko kilimanjaro
Mfano l'ami za himo_marangu_mwika
Kilema_marangu
_boma_machame
_sanya juu_boma
_kirua vunjo
NAKADHALIKA
 
Kwanza utalinganishaje Kagera na Kilimanjaro wakati Ka Kilimanjaro kenyewe kanaingia mara tatu Kwa Kagera yaani ni Sawa na hifadhi Tu za burigi na biharamulo.

Halafu eti mkoa nzima Una lami!!! Angalia nisije nikakuumbua hapa.hebu nitie mguu same
Same Ni asilimia ngapi ya Kilimanjaro?
Asilimia kubwa ya maeneo local Kilimanjaro Yana lami
Njoo machame,marangu,Sanya,kilema,mwika,masama,kirua utaona lami zimekatiza migombani
KILIMANJARO kuwa ndogo au kagera kuwa kubwa sio hoja
Kilimanjaro Ni ndogo na Ina rasilimali ndogo
Kagera Ni kubwa na Ina rasilimali kubwa msilete utetezi hafifu
tapatalk_1557338052832.jpeg
 
Back
Top Bottom