tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,955
Wilaya moja tu ya Missenyi zimo Kilimanjaro 2Hujanielewa wew.
Utalinganishaje mkoa wa Kagera ( Kilimanjaro inaingia mara tatu) na kamko kanakolingana wilaya ya muleba ?
Mjilingajishe na njombe huko na songwe sijui
Nikujuze tu kuanzia Rusahunga biharamulo kwenda karagwe au kampla ndo kuna barabara pana njia tano kuliko sehemu yoyote nchi hii achana na barabara zenu upana wa kipande cha sabuni hii ya uku ni njia tano nikiwa na maana magari manne yanapita kwa wakati mmoja mawili kuja mawili kwenda na sehemu yawatembea kwa miguu mjinga wewe.Halafu instanbul kila siku anajigamba Kagera mambo safi, kumbe road hamna
Nikujuze tu kuanzia Rusahunga biharamulo kwenda karagwe au kampla ndo kuna barabara pana njia tano kuliko sehemu yoyote nchi hii achana na barabara zenu upana wa kipande cha sabuni hii ya uku ni njia tano nikiwa na maana magari manne yanapita kwa wakati mmoja mawili kuja mawili kwenda na sehemu yawatembea kwa miguu mjinga wewe.
Bado nautafutia mfano upumbavu wako
Pole sana kujifanya unafahamu kumbe ujui chochote nitakupigia picha upana wa hii barabara alafu ulinganishe na ile ya kwenu dar singida.Njia tano zipo Dar peke yake labda na Mwanza.
Hiyo Barabara unayosema ninaijua, haina njia 5, ni njia mbili. Ya kwenda na kurudi.
Njia tano haziwezi kujengwa mkoa masikini kama wa Kagera.
Njia 5 zinajengwa kwenye mikoa yenye kipato kikubwa siyo nyie wavivu
Pole sana kujifanya unafahamu kumbe ujui chochote nitakupigia picha upana wa hii barabara alafu ulinganishe na ile ya kwenu dar singida.
Sawa ibaki kama ilivyo.Taarifa zake hizo Barabara ninazo. Hakuna jipya ni high way ya kawaida, ila nyingi ni za vumbi na zina mahandaki
Mbona unaongea Kwa chuki na hasira meko?Njia tano zipo Dar peke yake labda na Mwanza.
Hiyo Barabara unayosema ninaijua, haina njia 5, ni njia mbili. Ya kwenda na kurudi.
Njia tano haziwezi kujengwa mkoa masikini kama wa Kagera.
Njia 5 zinajengwa kwenye mikoa yenye kipato kikubwa siyo nyie wavivu
Hiyo barabara ina manufaa gani kwa nchi. Ni trunk road au regional road
Kama mpaka sasa hakuna picha.
Hapa tunajadili uzuri wa demu ambaye tumemuona gizani
Kwanza Tanroad biharamulo imetoka wapi jinga wewe uliwai ona wapi office za Tanroad za wilaya?
Alex Gashaza wewe ni mbunge wa Jimbo la Ngara ambako barabara hii ndiyo ikupelekayo bungeni. Najua ni kitu kimewashinda watangulizi wako. Hebu pigana uwaondolee adha wapiga kura wako wanaposafiri kutoka ngara to maeneo mengine kwa kutumia barabara hii. Oliva Semuguruka ungana na mwenzio kwenye hili. Unganeni na mbunge wa biharamulo. Sio mnakaa bungeni tuu mnakuna vitambi wakati hata kwenda huko bungeni mnapata shida mtumiapo barabara hii.
Kwanzia nyakanaz, lusahunga,benaco hadi rusumo barabara ni mbovu mno ni aibu barabara ya kitaifa Kama hiyo kuwa ktk Hali hiyo,manake barabara hiyo inaunganisha BurundiWe nawe!!! Kwani hainaga lami? Lami IPO ila ilijengwa chini ya kiwango enzi zile za zamani hivyo imearibika Sana kutokana na kuzidiwa uzito wa maroli makubwa yanayoelekea Rwanda na Burundi.
Na ni kipande Tu cha lusahunga benacco huko ngara.
Na chenyewe kinatengenezwa.
Mkuu hiyo barabara inatisha wakati sisi kilimanjaro Hadi migombani lami inakatizaHalafu instanbul kila siku anajigamba Kagera mambo safi, kumbe road hamna
Inayotengenezwa ni kwanzia lusahunga nyakanaz na kuendelea,hiyo ya lusahunga_benaco_rusumo Hakuna kituMbona kama hiyo barabara inatengenezwa mkuu au huwa naangalia vibaya...
Naam sio tu zinazounganisha wilaya kwa wilaya,Bali Pia migomban lami zimekatiza huko kilimanjaroNdiyo hivyo sasa usiwe unalinganisha Barbara mbovu na zile lami za Mkoa wa Kilimanjaro zinazounganisha mkoa mzima na zina kiwango na hazina mashimo na mahandaki
Same Ni asilimia ngapi ya Kilimanjaro?Kwanza utalinganishaje Kagera na Kilimanjaro wakati Ka Kilimanjaro kenyewe kanaingia mara tatu Kwa Kagera yaani ni Sawa na hifadhi Tu za burigi na biharamulo.
Halafu eti mkoa nzima Una lami!!! Angalia nisije nikakuumbua hapa.hebu nitie mguu same