Kwa Askari wetu huu utaratibu ni wa Kawaida sana Mkuu.. Hata kama umelala kitandani na Mkeo, wakiamua wanaweza wakakuamsha na Mateke..Mkuu samahani yaani ukae nyumbani kwako askari wakufate wakupe kichapo bila sababu ndio imetokea hivyo au ni tofauti kidogo.
Nitatoa ushauri mpaka pale taarifa itakapokamilika.Sawa kabisa,
Ni suala la mida tu
Ila ushauri hujatoa
Saidia mkuu ushauri wako ni muhimu kwa sasa,Nitatoa ushauri mpaka pale taarifa itakapokamilika.
Endelea kukusanya ushahidi.
Walishawahi kuwahi?Bahati mbaya fire brigade wakachelewa kufika hadi moto umezimwa
SidhaniWalishawahi kuwahi?
Nimejiuliza piaMkuu samahani yaani ukae nyumbani kwako askari wakufate wakupe kichapo bila sababu ndio imetokea hivyo au ni tofauti kidogo.
Kusikia si kama kuona ila mengi tu tunayasikiaUmesikia tu
Hata mimi naamini hivyo, ndio maana nauliza huyu jamaa muathirika aanzie wapi?Kama Ni kweli..sheria itafuata mkondo wake
We ni kichaa hujielewiMkuu samahani yaani ukae nyumbani kwako askari wakufate wakupe kichapo bila sababu ndio imetokea hivyo au ni tofauti kidogo.
Aanzie serikali ya mtaa si Kuna wajumbe na mashahidi walishuhudia ayo..Kisha ataelekezwa kwenda mbele zaidiHata mimi naamini hivyo, ndio maana nauliza huyu jamaa muathirika aanzie wapi?
Polisi, mahakamani au wapi?
Acha uongo ww kama Huna cha kuandika kaa kimya mmekalia kuchafua jeshi letu tu .Kwa Askari wetu huu utaratibu ni wa Kawaida sana Mkuu.. Hata kama umelala kitandani na Mkeo, wakiamua wanaweza wakakuamsha na Mateke..
Na wakakupeleka kituoni na wakiamua wanakubambikia kesi kwamba wamekukamata kwenye Tukio la Ujambazi.. Na wataonyesha silaha ambazo watadai wamekukamata nazo..
Kupopoa mawe jeshi la wazima moto ni sawa?Inasemekana nyumba ya jirani ilikuwa inaungua, na huyu jamaa nyumbani kwao kuna kisima cha maji so akajitolea pamoja na wasamaria wengine kuchota maji na kuzima moto huo, huku wakipiga simu taasisi ya zima moto kwa ajili ya msaada zaidi
Bahati mbaya fire brigade wakachelewa kufika hadi moto umezimwa, kwa hiyo walipofika wananchi wakaanza kuwapopoa kwa mawe, na wao wakaanza kupiga wanachi labda kwa kujihami
Ila kilichowakera wengi ni kwenda kumpiga mtu ambaye hakuwepo kwenye kundi linalorusha mawe na ni mtu ambaye ametoa mchango mkubwa sana wa mali na nguvu zake katika kuuzima moto huo
Inasemekana ameumia sanaa ndani kwa ndani na baadhi ya wakubwa na viongozi waliopo hapo wamempa 30,000/= tsh ili akajitibie huku wakimuomba msamaha
Sasa swali je hii ni haki?
Na inasemekana kuna waliosema watamrudia wamkomeshe yaani maisha yake yapo hatarini
Sijui tumsidieje huyu mtu mwema
Msaada tafadhali wa maoni tu
Si sawa kabisa,Kupopoa mawe jeshi la wazima moto ni sawa?
NakaziaKwa muktadha wa tukio hilo. Ninachoona ni kuwa huyo muhusika amepigwa kwa kuwa ametoa msaada wa haraka kwa kuokoa mali na uhai wa jirani yake, kwa kuwa ndio mwenye kisima cha maji.
Sasa baada ya wao Zimamoto kuchelewa na kukuta tukio limeisha, wananchi walipoanza kuwapopoa, ndipo wao wakamsaka muhusika ambaye amesababisha wao kuonekana sio weledi.
Ndo wakampiga na kumjeruhi hivyo, hii yote kwa kuwa amefanya kazi nzuri iliyopaswa wafanye wao, na kuwa amewaonesha kuwa wao ni wazembe na kuwatia doa ktk uweledi wa kazi yao.
Wema huponza. [emoji25][emoji25][emoji25]
Hapo zimamoto wachukuliwe hatua kali za kisheria.