TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Kwa Askari wetu huu utaratibu ni wa Kawaida sana Mkuu.. Hata kama umelala kitandani na Mkeo, wakiamua wanaweza wakakuamsha na Mateke..Mkuu samahani yaani ukae nyumbani kwako askari wakufate wakupe kichapo bila sababu ndio imetokea hivyo au ni tofauti kidogo.
Na wakakupeleka kituoni na wakiamua wanakubambikia kesi kwamba wamekukamata kwenye Tukio la Ujambazi.. Na wataonyesha silaha ambazo watadai wamekukamata nazo..