Billionaire101
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,471
- 4,971
Habari ya jioni watanganyika.
Niwapongeze na poleni kwa heka heka.
Nipongeze pia juhudi za ‘wahusika’ kusikiliza wananchi, kwasababu kitu pekee tunahitaji sasa hivi ni kuhudumiwa. Sasa, barabara nliyokua napigia kelele miaka mingi inawekwa Caravat (nimeambatanisha thread nlizokua naongelea kero hiyo). Alhamdullilah maana hii sehemu watoto wetu wanaopita na school bus walikua wanateseka sana.
RAI YANGU. Kule kuna hospitali ya St Yohanne (maarufu kwa masista) na kanisa la Roman Catholic pamoja na Anglikana yote yapo Goba Tegeta A na yamefuatana na wanatumia hii njia iliyowekwa caravat sasa hivi. Sasa nyinyi mna waumini wengi sana kwanini msiendeleze hii juhudi mkahakikisha hapa ilipoishia caravat mchonge barabara yenu vizuri ifike pale hospitali ya St Yohanne hadi kule kwenye kanisa lenu?
Kazi kubwa ilikua hapo kilichobaki sasa ni huduma za kijamii zifikike kiurahisi. Roman catholic pale mna hospitali nzuri sana (St Yohanne) na kanisa lenu ni kubwa sana mkiunganisha juhudi pale linapoishia caravat la kulangwa/tegeta A mkachonga vizuri ili njia isimomonyoke itakua vyema zaidi. Kwa sasa tu focus na maendeleo huku tunasubiri mambo mengine.
Kiukweli kilichonisukuma ni kwasababu watoto wetu wengi wanasoma shule ya Roman kule, njia ilikua haijachongwa na wanafika shuleni kwa tabu. So naamini kwa thread hii ujumbe utawafikia na juhudi zitaendelea.
Asanteni

HABARI YA LEO WAKUU,
Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Bw. Alberto Msando.
Kwanza nikupongeze kwa Uteuzi wako wa kuja kuiongoza Wilaya hii ya Ubungo, tuna matumaini na wewe tena sana tu.
Nikupongeze pia kwa juhudi ulizozianzisha za kupunguza au kukomesha foleni zisizo na msingi katika wilaya hii.
Dhumuni la Barua hii ya wazi kwako, ni kuomba ututazame wakazi wa Goba Tegeta A kwa jicho la huruma. tuna barabara mbovu sana. nilishaandika malalamiko mengi sana humu kuhusu ubovu huo wa barabara lakini naona hakuna anaejigusa.
KINACHONISIKITISHA KUHUSU HII BARABARA NI JINSI...

- Billionaire101
- barabara goba wilaya ya ubungo
- Replies: 8
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko