Billionaire101
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,471
- 4,971
Tushakua nyumbu angalau basi makazi yetu yaeleweke yasiwe kama wale wanaozurula masaimara kuleWanakurubuni waendelee kukugeuza nyumbu maisha yako yote.
Una akili sana mkuu. Una uelewa wa haraka. Kwamba tusiwe watu wa kukosoa tu. Wakifanya chochote tuseme na tuendelee kuwakumbusha kuwa sisi ni wananchi na tunahitaji huduma nzuri. Hakuna namnaWakisikiliza kero na kuhudumia wananchi, wakaacha ufisadi na kutanguliza masilahi ya nchi mbele kuliko masilahi yao, sisi hatutakuwa na matatizo nao.
Hapo unaferi pakubwa, unapaswa kupigana na ukweli, ukigeuzwa nyumbu tafuta njia ya kujiokoa na si kukubali unyonge usio na maana kwako.Tushakua nyumbu angalau basi makazi yetu yaeleweke yasiwe kama wale wanaozurula masaimara kule
Acha nisiongee , kapumzi kangu haka familia yangu Inanitegemea. Uwe na siku njemaHapo unaferi pakubwa, unapaswa kupigana na ukweli, ukigeuzwa nyumbu tafuta njia ya kujiokoa na si kukubali unyonge usio na maana kwako.
Umepandikizwa uoga ndani yako, unapaswa upigane kwa ajiri ya kesho bora ya watoto wako na siyo watoto wako ndio waje wapiganie kesho kutwa bora ya wajukuu wako!Acha nisiongee , kapumzi kangu haka familia yangu Inanitegemea. Uwe na siku njema
Kwenu hakuna changamoto? Umewahi kuzileta hapa kama nlivofanya mimi? Umewahi kuzisimamia hadi zikatekelezwa kama nlivyofanya mimi? Nyinyi ndo mnawajaza watu af mnakaa pembeni. Mimi nimeshughulika na kero ya mtaani kwangu kitu ambacho most of you hamna guts za kufanya ila ni keyboard warriors. Naelewa nini nafanya. Asante kwa ushauriUmepandikizwa uoga ndani yako, unapaswa upigane kwa ajiri ya kesho bora ya watoto wako na siyo watoto wako ndio waje wapiganie kesho kutwa bora ya wajukuu wako!
Najua tukikomboa Taifa ni lazima ujifanye ulishiriki ili upate mgao wa mema ya nchi.Kwenu hakuna changamoto? Umewahi kuzileta hapa kama nlivofanya mimi? Umewahi kuzisimamia hadi zikatekelezwa kama nlivyofanya mimi? Nyinyi ndo mnawajaza watu af mnakaa pembeni. Mimi nimeshughulika na kero ya mtaani kwangu kitu ambacho most of you hamna guts za kufanya ila ni keyboard warriors. Naelewa nini nafanya. Asante kwa ushauri
Hujajibu hoja umeparamia mambo unaongea ambayo hayaeleweki, tuanze tu na mtaani kwenu umewahi kunyanyua mdomo kusema hata barabara ni mbovu? Hujawahi. Ila kuwa keyboard warrior sasa ndo kinara.Najua tukikomboa Taifa ni lazima ujifanye ulishiriki ili upate mgao wa mema ya nchi.
Najua tukikomboa Taifa ni lazima ujifanye ulishiriki ili upate mgao wa mema ya nchi.
Sawa 9D kaa nyumbani kwako hauna cha maana ndani ya Taifa hili.Hujajibu hoja umeparamia mambo unaongea ambayo hayaeleweki, tuanze tu na mtaani kwenu umewahi kunyanyua mdomo kusema hata barabara ni mbovu? Hujawahi. Ila kuwa keyboard warrior sasa ndo kinara.
Nawajuaga nyinyi.
Wewe mwenye maana bado uko hai! Aisee!Sawa 9D kaa nyumbani kwako hauna cha maana ndani ya Taifa hili.
Pole yako.Wewe mwenye maana bado uko hai! Aisee!