Barabara ya Igoma - Kishiri

Barabara ya Igoma - Kishiri

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
913
Reaction score
582
Kwako Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Meya na Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi TARURA mpaka mamla husika hapa jijini Mwanza.

Kwako Rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli. Rais wangu kipenzi cha Watanzania watajwa hapo juu wameifumbia macho BARABARA ya IGOMA Kishiri, ambacho ni kipande kidogo sana ambacho watajwa hapo juu wanaweza ku deal nacho.

Mada: Mh BARABARA hi ni mbovu mbovu saaana, ssasa ina mashimo kama creta za Ngorongoro. Magari na vyombo vingine vya Moto vinapita kwa shida.

Unatumia dk 30_45 toka IGOMA Kishiri. Badala ya dk tano. Wagonjwa na akina Mama wajawazito Ni taabu kutumia BARABARA hii.

Mh, Rais wetu mpendwa, Kishiri, Kanindo, Fumagila nk wakazi wa maeneo haya ni wengi na BARABARA tegemeo ni hiyo.

Mh. Rais wetu mpendwa, ikikupendeza uliza tu wa teule wako Wana mpango gani na kipande hicho kibovu cha BARABARA kitumiwacho na hawa wananchi wa nyonge?

Asante.
Tuendelee kuchukua tahadhari CORONA INA KINGIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi hiyo bara bara inahitaji lami kutoka Igoma mpaka Buhongwa,inaweza kurahisisha sana matumizi ya watu kiusafiri,kama vile ilivyokaa ile ya Kisesa to Usagara,lakini usisononeke sana maana kiukweli Serikali inatenda,hatukufikiria kama kutafunguka njia kati ya saba saba na Buswelu,Isamilo Kilimahewa na kwingineko.

JAH Rastafari Morning Africa. Trust JAH respect nature
 
Jana imeanza kuparuliwa, ingependeza wakamwaga lami
Kwako Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Meya na Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi TARURA mpaka mamla husika hapa jijini Mwanza.

Kwako Rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli. Rais wangu kipenzi cha Watanzania watajwa hapo juu wameifumbia macho BARABARA ya IGOMA Kishiri, ambacho ni kipande kidogo sana ambacho watajwa hapo juu wanaweza ku deal nacho.

Mada: Mh BARABARA hi ni mbovu mbovu saaana, ssasa ina mashimo kama creta za Ngorongoro. Magari na vyombo vingine vya Moto vinapita kwa shida.

Unatumia dk 30_45 toka IGOMA Kishiri. Badala ya dk tano. Wagonjwa na akina Mama wajawazito Ni taabu kutumia BARABARA hii.

Mh, Rais wetu mpendwa, Kishiri, Kanindo, Fumagila nk wakazi wa maeneo haya ni wengi na BARABARA tegemeo ni hiyo.

Mh. Rais wetu mpendwa, ikikupendeza uliza tu wa teule wako Wana mpango gani na kipande hicho kibovu cha BARABARA kitumiwacho na hawa wananchi wa nyonge?

Asante.
Tuendelee kuchukua tahadhari CORONA INA KINGIKA

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyamagana awamu ya pili barabara nyingi mbali na mjin kati zitakumbukwa na kuwekwa lami. hasa zinazounganisha Barabara ya Kenyatta na Nyerere Road bila kupita mjini kati.
 
Ninyi pia mlikosea kuchagua Kama wengine wanavyoambiwa au mkuu wenu wa mkoa ni Chadema kiasi kwamba hawezi omba pesa kwa rais ili kuiwekea lami hiyo barabara?
 
Nimeshangaa sana kwakweli. Sijui aliyetoa wazo la kuiweka lami barabara ya Nyegezi kwenda majengo ni nani. Nilitegemea barabara ya mkolani pale darajani mpaka bukumbi au ile ya Buhongwa mpaka kishiri Igoma angalau wangezitengeneza kama ile barabara ya kahama kwenda ilalila mpaka igombe.
 
Ninyi pia mlikosea kuchagua Kama wengine wanavyoambiwa au mkuu wenu wa mkoa ni Chadema kiasi kwamba hawezi omba pesa kwa rais ili kuiwekea lami hiyo barabara?
Jamaa Mkuu wa mkoa anahusikaje na barabara zaidi ya kusimamia matumizi bora pesa zinazoletwa?
 
Nyamagana awamu ya pili barabara nyingi mbali na mjin kati zitakumbukwa na kuwekwa lami. hasa zinazounganisha Barabara ya Kenyatta na Nyerere Road bila kupita mjini kati.
Zote zina lami hizo mkuu waliweka last year! Au unasemea zipi
 
Back
Top Bottom