Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 582
Kwako Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Meya na Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi TARURA mpaka mamla husika hapa jijini Mwanza.
Kwako Rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli. Rais wangu kipenzi cha Watanzania watajwa hapo juu wameifumbia macho BARABARA ya IGOMA Kishiri, ambacho ni kipande kidogo sana ambacho watajwa hapo juu wanaweza ku deal nacho.
Mada: Mh BARABARA hi ni mbovu mbovu saaana, ssasa ina mashimo kama creta za Ngorongoro. Magari na vyombo vingine vya Moto vinapita kwa shida.
Unatumia dk 30_45 toka IGOMA Kishiri. Badala ya dk tano. Wagonjwa na akina Mama wajawazito Ni taabu kutumia BARABARA hii.
Mh, Rais wetu mpendwa, Kishiri, Kanindo, Fumagila nk wakazi wa maeneo haya ni wengi na BARABARA tegemeo ni hiyo.
Mh. Rais wetu mpendwa, ikikupendeza uliza tu wa teule wako Wana mpango gani na kipande hicho kibovu cha BARABARA kitumiwacho na hawa wananchi wa nyonge?
Asante.
Tuendelee kuchukua tahadhari CORONA INA KINGIKA
Sent using Jamii Forums mobile app