Kuna mahali nimesoma kwenye bajeti ya maendeleo ya serikali kuu 2023/24 inaonesha barabara ya matundasi kwenda itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami.
Mwenye uelewa wa jambo hili ninaomva atujuze.
Je, mkandarasi alishapatikana?
Je, ujenzi unaanza lini?