Barabara ya kutokea Kenya kwenda Sudan Kusini full mtelezo kwa raha tu yaani

Barabara ya kutokea Kenya kwenda Sudan Kusini full mtelezo kwa raha tu yaani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ukanda huu tunazidi kuufungua. Uzuri Sudan Kusini walishaacha kupigana pigana, ni mwendo wa biashara na amani sasa.

=====

Northern Kenya is undergoing a transformation following the upgrade of a key link road between Kenya and South Sudan.

The South Sudan Link road project is being undertaken by the Kenya National Highways Authority (KeNHA) at a cost of Ksh37 billion.

It connects the towns of Kitale - Kapenguria - Lokichar - Lodwar - Kakuma to Lokichogio town, which is 30 kilometres from the border between Kenya and South Sudan.

south%20sudann.JPG


south%20sudann%20road.JPG


south%20sudan%20lodwar.JPG


 
I wonder leo ndio you are opening.

Tz shares the boarder with 8 countries na zote tulishazifungua decades ago.
 
Kuna watu saa hizi wanajifanya kwamba hawajaona uzi huu. Wanajijua. Wamehepa walipoona habari njema. Wanapita kimya kimya.
 
MK254, Halalisha unapo nuku halisia jambo.Usije ikawa askofu upo kwenye mandarr(Policy).
 
I wonder leo ndio you are opening,
Tz shares the boarder with 8 countries na zote tulishazifungua decades ago.
South Sudan wamekua na vita nani alitaka kuhusiana nao, na bado wako hostile somehow ata kwa foreigners., not that friendly
 
Sudan ya kusini? Mnawaamini sana hao jamaa?
 
The size of south Sudan is 3 times larger than Kenya.

Other than flooding the rest of land is raw fertile.

Once the south Sudan country becames stable sahau ndaganyiass agriculture produce like hot rod.
 
Back
Top Bottom