Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ungeandikwa kiswahili tupu ungepungukiwa nini?Listen, this road is the one from South Africa to Cairo and passes to some countries, so there is one runs through Arusha to Nairobi and the other one is runs through the sirari, Kisumu to south Sudan.
Hii ramani inaonesha namna gani Tanzania imekua muhimu kwenu, naona zipo barabara za lami tofauti 4 za kuingia Tanzania, wakati majirani wengine hata ya vumbi hamnaActually it's the A1, starts from Isebania/Sirare through Kisii, Kisumu, Kakamega, Kitale, Kapenguria, Lodwar, Lokichoggio to S. Sudan.View attachment 1689124
Jibu swali ndipo upate fursa ya kuuliza lako! Sio unajibu swali kwa swaliKwani vipi? Kuna Shida?
Sasa unapinga hii pia? Nimekuambia mara ngapi kwamba Kenya inajenga lami kuelekea South Sudan ila huwa sifuatilii? Ama ulikuwa unadhani kwamba nakudanganya? Barabara hii ya kuelekea Sudan Kusini imekuwa ikijengwa kwa miaka kadhaa sasa kwa hivyo usishangae kuona mapicha ya lami yakimwagwa humu.Kwanza mlete km kamili kati ya Kenya-South Sudan border na Lokichogoi Town!
Nimeomba total km halafu uoanishe na zilizojengwa so far!Sasa unapinga hii pia? Nimekuambia mara ngapi kwamba Kenya inajenga lami kuelekea South Sudan ila huwa sifuatilii? Ama ulikuwa unadhani kwamba nakudanganya? Barabara hii ya kuelekea Sudan Kusini imekuwa ikijengwa kwa miaka kadhaa sasa kwa hivyo usishangae kuona mapicha ya lami yakimwagwa humu.
Kwani wana tatizo lipi? Muulize mkenya yeyote kuhusu raia wa S.Sudan ambao wanaishi nchini Kenya. Hutasikia jambo lolote negative kuwahusu. Infact kwa maoni yangu wao ndio 'model immigrants/refugees' nchini Kenya.Sudan ya kusini? Mnawaamini sana hao jamaa?
Nimeshangaa juzi diamond alipokewa na Rais wao kabisa, utafikiri ni Rais wa nchi kumbe ni Rais wa WCB wasafi anakutana na Rais wa nchi, sikutegemea kuona watu in millions wakimshobokea diamond kiasi kile na kuimba nyimbo za diamond utafikiri watoto wa tandaleKwani wana tatizo lipi? Muulize mkenya yeyote kuhusu raia wa S.Sudan ambao wanaishi nchini Kenya. Hutasikia jambo lolote negative kuwahusu. Infact kwa maoni yangu wao ndio 'model immigrants/refugees nchini Kenya. Huwa wapo busy na shughuli zao, wanafata sheria na huwa hawana fujo wala bifu na mtu yeyote yule. Tena wamekuwepo Kenya kwa muda mrefu Sana na sio tu kwenye kambi ya wakimbizi ya Kakuma, wapo wengi, sanasana kule mtaa wa Ngumo, Lang'ata jijini Nairobi. Nina rafiki zangu wengi kutoka S.Sudan na nimefika Juba nikielekea mji wa Malakal, asikuhadae mtu na 'stereotypes' kuhusu S.Sudan. Licha ya vita vya muda mrefu jamaa wanajitahidi sana. Kule Juba wakenya wanachapa biashara sio mchezo. Kuna shule, maduka makubwa, hospitali hadi na benki za wakenya kule S.Sudan. Nilishangaa kuona kwamba mashuleni wanatumia syllabus ya Kenya na mitihani na vitabu vya wanafunzi pia. Usidhani rangi za bendera yao zipo hivi kibahati bahati.View attachment 1689613
Nimeshangaa juzi diamond alipokewa na Rais wao kabisa, utafikiri ni Rais wa nchi kumbe ni Rais wa WCB wasafi anakutana na Rais wa nchi, sikutegemea kuona watu in millions wakimshobokea diamond kiasi kile na kuimba nyimbo za diamond utafikiri watoto wa tandale
Kuna mkenya yeyote wanamkubali vile sababu nilishtuka mno
Kwani wana tatizo lipi? Muulize mkenya yeyote kuhusu raia wa S.Sudan ambao wanaishi nchini Kenya. Hutasikia jambo lolote negative kuwahusu. Infact kwa maoni yangu wao ndio 'model immigrants/refugees' nchini Kenya.
Huwa wapo busy na shughuli zao, wanafata sheria na huwa hawana fujo wala bifu na mtu yeyote yule. Tena wamekuwepo Kenya kwa muda mrefu sana na sio tu kwenye kambi ya wakimbizi ya Kakuma, wapo wengi, sanasana kule mtaa wa Ngumo, Lang'ata jijini Nairobi.
Nina rafiki zangu wengi kutoka S.Sudan na nimefika Juba nikielekea mji wa Malakal, asikuhadae mtu na 'stereotypes' kuhusu S.Sudan. Licha ya vita vya muda mrefu jamaa wanajitahidi sana. Kule Juba wakenya wanachapa biashara sio mchezo. Kuna shule, maduka makubwa, hospitali hadi na benki za wakenya kule S.Sudan.
Nilishangaa kuona kwamba mashuleni wanatumia syllabus ya Kenya, mitihani na vitabu vya wanafunzi pia. Usidhani bendera yao ipo hivi kibahati bahati View attachment 1689682
Kama kuna watu(wahamiaji/wakimbizi n.k.) ambao wanapendwa na UNHCR na mashirika mengine ya kimataifa ni watu wa S.Sudan. Jamaa ambao wamejisajili na UNHCR huwa wanapokea donge nono sana kila mwezi kutoka kwa mashirika hayo.Hapa kwangu tunao wengi kama majirani, japo kwa aina ya magari wanayoendesha mimi huona itakua familia za vigogo kule kwao. Hilo la wao kuishi bila kuwa ugomvi ugomvi humu Kenya nahisi itakua wana mtandao wao wa ndani kwa ndani kwamba mmoja akitenda uhalifu kuna namna wanamshughulkia wenyewe.
Kama Wahindi walivyo, vigumu sana ukute Mhindi anahusika kwenye uhalifu, wana kamtandao kao ka kuwajibishana na kuadhibiana kiaina fulani.
Majirani zetu wa kusini nao wana kamtandao kao ka kujaza omba omba huku.
Lakini kwani anaimba English? Unategemea vipi mwanamuziki wa kichina aongee kindengereko? Kijana wa tandale kapata umaarufu kutokana na lugha yake ya Tandale.Nilitazama hiyo video, tatizo hajui English kama wengine nyote hadi viongozi hamjui English, alipopewa mic aongee akaanza zile ze ze ze zenu.
What is an A1 road?Actually it's the A1, starts from Isebania/Sirare through Kisii, Kisumu, Kakamega, Kitale, Kapenguria, Lodwar, Lokichoggio to S. Sudan.View attachment 1689124
Lakini kwani anaimba English? Unategemea vipi mwanamuziki wa kichina aongee kindengereko? Kijana wa tandale kapata umaarufu kutokana na lugha yake ya tandale
Nauliza kama kuna mwanamuziki wa kenya anakubalika hivyo, naona pia yule mmakonde anajiita konde gang alipata mapokezi kiwango cha waziri mkuu huko huko kwa majirani zenu
Mkuu, Mimi nimesoma Kenya, chuo kimoja maarufu Karen, karibu na Rongai, baada ya kumaliza chuo nikakaa tena 2 years Kenya, nina marafiki wa S.Sudan wachache, wengi walikuwa wanakaa kibinafsi sana yaani wao kwa wao.Kwani wana tatizo lipi? Muulize mkenya yeyote kuhusu raia wa S.Sudan ambao wanaishi nchini Kenya. Hutasikia jambo lolote negative kuwahusu. Infact kwa maoni yangu wao ndio 'model immigrants/refugees' nchini Kenya.
Huwa wapo busy na shughuli zao, wanafata sheria na huwa hawana fujo wala bifu na mtu yeyote yule. Tena wamekuwepo Kenya kwa muda mrefu sana na sio tu kwenye kambi ya wakimbizi ya Kakuma, wapo wengi, sanasana kule mtaa wa Ngumo, Lang'ata jijini Nairobi.
Nina rafiki zangu wengi kutoka S.Sudan na nimefika Juba nikielekea mji wa Malakal, asikuhadae mtu na 'stereotypes' kuhusu S.Sudan. Licha ya vita vya muda mrefu jamaa wanajitahidi sana. Kule Juba wakenya wanachapa biashara sio mchezo. Kuna shule, maduka makubwa, hospitali hadi na benki za wakenya kule S.Sudan.
Nilishangaa kuona kwamba mashuleni wanatumia syllabus ya Kenya, mitihani na vitabu vya wanafunzi pia. Usidhani bendera yao ipo hivi kibahati bahati View attachment 1689682
Kenyan roads are classified as A, B, C, D, E and SP. Each road has a code. This particular road is A1, Nairobi - Malaba is A8 (Used to be A104), Nairobi - Moyale is A2 etc.What is an A1 road?
Naskia kuwa unaweza kutoka Ulaya hadi South Africa kwa barabara! Na kwamba eti changamoto utaikuta njia ya kutoka South Sudan hadi Sudan! Shida ni nini hapo?Ukanda huu tunazidi kuufungua.... uzuri Sudan Kusini walishaacha kupigana pigana...ni mwendo wa biashara na amani sasa.
=====
Northern Kenya is undergoing a transformation following the upgrade of a key link road between Kenya and South Sudan.
The South Sudan Link road project is being undertaken by the Kenya National Highways Authority (KeNHA) at a cost of Ksh37 billion.
It connects the towns of Kitale - Kapenguria - Lokichar - Lodwar - Kakuma to Lokichogio town, which is 30 kilometres from the border between Kenya and South Sudan.
Photos of Ksh37B Highway Linking Kenya to South Sudan
The project is being undertaken by the Kenya National Highways Authority (KeNHA) at a cost of Ksh37 billion.www.kenyans.co.ke
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Soon al shabab wata tumia ii road kupita
Kwa Tanzania ziko classified Kama T1, T8 nk kwa mfano T8 ni barabara kuu ya Tanzam(Dar-Tunduma), T8 ni barabara kuu(Trunk road? ) Ya Magharibi yaani kuanzia Tunduma-mpanda-nyakanazi Hadi Mutukula.Kenyan roads are classified as A, B, C, D, E and SP. Each road has a code. This particular road is A1, Nairobi - Malaba is A8 (Used to be A104), Nairobi - Moyale is A2 etc.
Kakuma town [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]