wee umevukaje na wao wanashindwaje kupita?
hilo eneo hamkufanya uchaguzi 2015 wakuchagua mbunge na madiwani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiloneneo jamani serikali itengeneze
Kwa akiri zako ndogo unahisi wanaoathirika hapo ni watu gani?wee umevukaje na wao wanashindwaje kupita?
hilo eneo hamkufanya uchaguzi 2015 wakuchagua mbunge na madiwani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akiri zako ndogo unahisi wanaoathirika hapo ni watu gani?
Wapiga kura wa hapo au?
wewe mwenye akili kubwa unasemajeKwa akiri zako ndogo unahisi wanaoathirika hapo ni watu gani?
Wapiga kura wa hapo au?
acheni kulisha watu maneno, lengo la kukuuliza kuhusu mbunge ni kama kuna idadi zaid ya magari 1000 hilo tayari ni janga na mtu wakwanza kuwajibika hapo ni hao viongozi niliowataja hapoMkuu ni shida mawazo yake yako kisiasa siasa tu. Akijidhania wengine wote ni wajinga isipokuwa yeye tu.View attachment 1340500
Mmmmh jamani😏...exaggeration...sikatai kuna tatizo...nachokataa ni huo uwingi wa gari tunaotaka kuaminishwa..eti gari si chini ya 1,000...
Everyday is Saturday..............😎
Huo ni mpka kwahiyo hata hayo magari elfu ni machache,malori pekee yanayovuka hpo kwa siku yanaweza zidi 200,unapafahamu hapo?Mmmmh jamani[emoji57]...exaggeration...sikatai kuna tatizo...nachokataa ni huo uwingi wa gari tunaotaka kuaminishwa..eti gari si chini ya 1,000...
Everyday is Saturday..............😎
Sio nyabugombe hata pia barabara ya karagwe kuja benaco ni hatari tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mweleze mbunge wenu ambaye ni waziriSio nyabugombe hata pia barabara ya karagwe kuja benaco ni hatari tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mpka kwahiyo hata hayo magari elfu ni machache,malori pekee yanayovuka hpo kwa siku yanaweza zidi 200,unapafahamu hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako unaweza bisha hio ni barabara kuu inaenda nchi za burundi rwanda na congo vile vile inaunganisha wilaya za ngara na biaramulo piga hesabu siku mbili haipitikiMmmmh jamani[emoji57]...exaggeration...sikatai kuna tatizo...nachokataa ni huo uwingi wa gari tunaotaka kuaminishwa..eti gari si chini ya 1,000...
Everyday is Saturday..............😎
Wanashindwa hata kumuomba stabarg aje hata arekebishe hapoNikiwa hapa nyabugombe nilisikia hii ya karagwe pia kuwa hali huko nako ni tete.
Hata radio kwizera ajabu ni kuwa hawaoni umuhimu wa kuangazia adha hizi.
Vipaumbele vyetu viko wapi?
Oh poa tuMkuu mbunge yangu yuko dar hapa napita tu. Hii ni njia kuu. Mbunge yangu wa dar atanisaidia vipi?