Barabara ya kutokea Rusumo haipitiki kwa siku mbili sasa

Barabara ya kutokea Rusumo haipitiki kwa siku mbili sasa

Ushauri wangu nadhani mgetumia ndege kusafirisha maeneo hayo sumbufu,
Kwa mizigo mvumilie,tumeagiza ndege ya mizigo Wala haitachukua mda kufika,
Tumedhamiria...
 
Ngara hatujawahi kupata mbunge wa ajabu kama Alex Gashaza. Ili kutunza heshima yako mwaka huu usichukue fomu ya kugombea, tayari una mtaji tafuta mitkasi zingine. Shwaini kabisa mbunge usiejua unaongoza jimbo strategic.
 
Niandikapo uzi huu ni kuwa hatimaye miraculously nimebahatika kutoka Nyabugombe katika barabara Rusumo keelekea Rusahunga njia kuu iendayo Dar baada ya kuwepo hapo kwa siku karibia 2.

Kwa hakika hii haina tofauti na escape from Sobibo. Wengine wengi watoto na kina mama bado wapo pale.

Si chini ya magari 1000 kwa hesabu za haraka haraka yamekwama pale kutokana tu na ubovu tu wa barabara uliopo pale unaosababishwa na uzembe wa wenye mamlaka.

Ni usumbufu kiasi gani? Ni upotevu kiasi gani wa biashara? Ni uharibifu kiasi gani wa magari? Hakuna anaye hali?

Eneo lenyewe hili hakuna mitandao yoyote ya simu na hivyo hali kwa ujumla ni tete.

Hakuna askari polisi wala hakuna msaada wowote.

Hivi kweli barabara hii haina ukipa umbele wowote? Kweli hawa TANROADS wanaridhika kabisa na hali hii?View attachment 1340398View attachment 1340398View attachment 1340399View attachment 1340400View attachment 1340401
Nyabugombe,ngazi saba,Rusahunga,mizani,zero zero,benako,machinjioni hii barabara nimeipita sana 2013/14 kama haikufanyiwa marekebisho itakuwa na makorongo cyo mashimo maana ilikuwaga imechoka hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ng'ombe anakamuliwa tu hamna malisho. Kodi wanachukua hakuna mrejesho kwenye barabara. Hii ni Tanzania tu.

Sasa ng'ombe yuanakamuliwa damu.
 
samahani wakuu , sijaelewa hasa tatizo ni ni daraja limebomoka/limekatika? Mafuriko? Makorongo ! Au gari imeharibika katikati ya barabara?

Mleta mada au mlioko eneo hilo elezeni vizuri.
 
samahani wakuu , sijaelewa hasa tatizo ni ni daraja limebomoka/limekatika? Mafuriko? Makorongo ! Au gari imeharibika katikati ya barabara?

Mleta mada au mlioko eneo hilo elezeni vizuri.

Shida ni kuwa barabara kwa ujumla ni mbaya sana. Kuna mashimo makubwa barabarani na kuna utelezi sana hasa kipindi hiki cha mvua.

Shida kubwa zaidi hapo nyabugombe ni kuwa pana milima miwili ambapo slopes zake ni kubwa. Malori yanateleza borh ways kupanda na kushika hiyo yanafunga barabara.

Kiufasaha tatizo ni kuwa barabara hii ilihitaji mrejesho wa kodi tunayovuna hapo au angalau kwa TANROADS kuwajibika kuona kuwa japo inapitika muda wote kwani traffic ya magari ni kubwa sana.
 
Ha ha huko ngara miaka yote huwa mnakosea hamtapata mbunge timamu sababu ya uukabila wenu sijui ubugufi na unini huko

Kuweni sirias mwaka huu
Ngara hatujawahi kupata mbunge wa ajabu kama Alex Gashaza. Ili kutunza heshima yako mwaka huu usichukue fomu ya kugombea, tayari una mtaji tafuta mitkasi zingine. Shwaini kabisa mbunge usiejua unaongoza jimbo strategic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rusumo Lusaunga Hii ni barabara ya lami iliyojengwa katikati ya miaka ya tisini, Nakumbuka enzi ya mbunge mzee mtemba Sebastian Kinyondo waliipigia sana kelele .

Tatizo ni hakuna ukarabati wa maana unaofanyika kuihuisha ,kama ku overlay au kuziba mashimo kwa lami.
 
Ushauri wangu nadhani mgetumia ndege kusafirisha maeneo hayo sumbufu,
Kwa mizigo mvumilie,tumeagiza ndege ya mizigo Wala haitachukua mda kufika,
Tumedhamiria...

Ninaamini ulikuwa na maana ya kutoa angalizo kusitisha safari njia hii kama inawezekana. Ninakubaliana nawe 100% kama ambavyo ni logical kupisha kwenda kule kwenye Corona virus kwa sasa.
 
Ninaamini ulikuwa na maana ya kutoa angalizo kusitisha safari njia hii kama inawezekana. Ninakubaliana nawe 100% kama ambavyo ni logical kupisha kwenda kule kwenye Corona virus kwa sasa.
Lakini nilivyoangalia picha moja hapo,malori yanayoelekea upande mmoja yameziba barabara.
Inamaana magari ya upande wa pili hayawezi kupita hapo, isijekuwa wenyewe wanajifungia njia.!
 
Lakini nilivyoangalia picha moja hapo,malori yanayoelekea upande mmoja yameziba barabara.
Inamaana magari ya upande wa pili hayawezi kupita hapo, isijekuwa wenyewe wanajifungia njia.!

Mkuu wanasema ukishikwa shikamana. Hiyo ni jitihada zao bianfsi angalau kunusuru yaende tu yanayoteremka kuliko kuruhusu yanayopanda ambayo pia hayataweza.
 
Ndugu hiyo sehemu ina mashimo makubwa makubwa salama yako ni kupita zigzag

Panahitaji marekebisho makubwa

Back
Top Bottom