Nyabugombe,ngazi saba,Rusahunga,mizani,zero zero,benako,machinjioni hii barabara nimeipita sana 2013/14 kama haikufanyiwa marekebisho itakuwa na makorongo cyo mashimo maana ilikuwaga imechoka hatariNiandikapo uzi huu ni kuwa hatimaye miraculously nimebahatika kutoka Nyabugombe katika barabara Rusumo keelekea Rusahunga njia kuu iendayo Dar baada ya kuwepo hapo kwa siku karibia 2.
Kwa hakika hii haina tofauti na escape from Sobibo. Wengine wengi watoto na kina mama bado wapo pale.
Si chini ya magari 1000 kwa hesabu za haraka haraka yamekwama pale kutokana tu na ubovu tu wa barabara uliopo pale unaosababishwa na uzembe wa wenye mamlaka.
Ni usumbufu kiasi gani? Ni upotevu kiasi gani wa biashara? Ni uharibifu kiasi gani wa magari? Hakuna anaye hali?
Eneo lenyewe hili hakuna mitandao yoyote ya simu na hivyo hali kwa ujumla ni tete.
Hakuna askari polisi wala hakuna msaada wowote.
Hivi kweli barabara hii haina ukipa umbele wowote? Kweli hawa TANROADS wanaridhika kabisa na hali hii?View attachment 1340398View attachment 1340398View attachment 1340399View attachment 1340400View attachment 1340401
Nyabugombe,ngazi saba,Rusahunga,mizani,zero zero,benako,machinjioni hii barabara nimeipita sana 2013/14 kama haikufanyiwa marekebisho itakuwa na makorongo cyo mashimo maana ilikuwaga imechoka hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi media zimebaki kusifia tu.Nikiwa hapa nyabugombe nilisikia hii ya karagwe pia kuwa hali huko nako ni tete.
Hata radio kwizera ajabu ni kuwa hawaoni umuhimu wa kuangazia adha hizi.
Vipaumbele vyetu viko wapi?
samahani wakuu , sijaelewa hasa tatizo ni ni daraja limebomoka/limekatika? Mafuriko? Makorongo ! Au gari imeharibika katikati ya barabara?
Mleta mada au mlioko eneo hilo elezeni vizuri.
Chadema ndiyo waathilika wakubwa.Kwa akiri zako ndogo unahisi wanaoathirika hapo ni watu gani?
Wapiga kura wa hapo au?
Wanajua waoDah Wakazi wa dunia ya tatu (third world dwellers) mmemkosea nini Mungu??!!
Ngara hatujawahi kupata mbunge wa ajabu kama Alex Gashaza. Ili kutunza heshima yako mwaka huu usichukue fomu ya kugombea, tayari una mtaji tafuta mitkasi zingine. Shwaini kabisa mbunge usiejua unaongoza jimbo strategic.
Ushauri wangu nadhani mgetumia ndege kusafirisha maeneo hayo sumbufu,
Kwa mizigo mvumilie,tumeagiza ndege ya mizigo Wala haitachukua mda kufika,
Tumedhamiria...
Lakini nilivyoangalia picha moja hapo,malori yanayoelekea upande mmoja yameziba barabara.Ninaamini ulikuwa na maana ya kutoa angalizo kusitisha safari njia hii kama inawezekana. Ninakubaliana nawe 100% kama ambavyo ni logical kupisha kwenda kule kwenye Corona virus kwa sasa.
Lakini nilivyoangalia picha moja hapo,malori yanayoelekea upande mmoja yameziba barabara.
Inamaana magari ya upande wa pili hayawezi kupita hapo, isijekuwa wenyewe wanajifungia njia.!
Serikali ya CCM iko busy na ZittoHilo eneo jamani serikali itengeneze
Lakini nilivyoangalia picha moja hapo,malori yanayoelekea upande mmoja yameziba barabara.
Inamaana magari ya upande wa pili hayawezi kupita hapo, isijekuwa wenyewe wanajifungia njia.!