Barabara ya kutokea Rusumo haipitiki kwa siku mbili sasa

Ndugu hiyo sehemu ina mashimo makubwa makubwa salama yako ni kupita zigzag

Panahitaji marekebisho makubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora hiyo barabara ingekuwa ya vumbi ikaeleweka, lami imetengeneza mashimo ambayo yanakata haswaa..... Unakwepa shimo unaingia kwenye shimo, Nyabugombe ni hatari zaidi..... Bora upande wa Ngara walijaribu kuziba mashimo kwa kuyajaza udongo.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Maeneo ya Ngara yenye angalau ubora unayoyaongelea bila shaka ni yale wanakoishi watu. Ambako wazi wazi diwani na mbunge wa huko asipowajibika anawajibishwa moja kwa moja na waishio hapo hapo.

Huku njiani kusiko kuwa hata na network ya simu mbona balaa.
 
Kuna thread 1 humu JF mtu alikua anaongelea jinsi kulivyo na mazingira magumu huko shambani alikoenda kuvuna mazao yake, wewe ukamshauri eti aende na sleeping bag na Oven awe anapasha msosi huko shamba,kwa hio mawazo yako hua siyashangai ni ya kinadharia tu.
Ushauri wangu nadhani mgetumia ndege kusafirisha maeneo hayo sumbufu,
Kwa mizigo mvumilie,tumeagiza ndege ya mizigo Wala haitachukua mda kufika,
Tumedhamiria...

dodge
 
"TUTAMKUMBUKA SANA
KANGI LUGOLA"

kuna jamaaa alisikika alisema kwenye Daladala.
 
No bora kabisa ingekua vumbi!
Viongozi wakipita pale labda wataona uhalisia
.
Ni zaid ya mashimo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah hilo eneo kwa kweli ni matatizo matupu asee Mimi huwa nashangaa Sana ni kwanini barabara hii haijengwi??
Yani kutoka Rusumo hadi kufika mizani hapo Nyakahura barabara ni mbaya kweli kweli, Sasa balaa zaidi ni kutoka hapo Nyakahura Mizani hadi kufika Lusahunga dooh panatisha kwa kweli .
Poleni Sana ndugu zangu.
 
Halafu strabag yupo nyakanazi tu hapo mkuu ila huo mkoa ni balaa wenyeji wake huwa wanajifanya matawi ila wanapotoka ni majanga
Hivi kwanza ile sehemu ya Nyakanazi hadi Lusahunga imesha kamilika.??
 
Nikiwa hapa nyabugombe nilisikia hii ya karagwe pia kuwa hali huko nako ni tete.

Hata radio kwizera ajabu ni kuwa hawaoni umuhimu wa kuangazia adha hizi.

Vipaumbele vyetu viko wapi?
Poleni sana. Achana na hawa wanaoingiza siasa za kijinga kwenye kila jambo. Tatizo ni utelezi magari yanashindwa kwenda au ni nini?
 
Kwa misifa Sasa wee hawajambo, watu wa kagera ni shida utakuta wanakwambia wao mkoa mzima wamesoma, kuna mmoja alisema kijiji chao kina ma professor saba.
Sasa sijui hao ma professor wana msaada gani.
Hali ya maisha kule inatisha jamani,kuanzia Lusahunga na vitongoji vyake hali ni tete hadi Rusumo.
Sasa balaa zaidi pita pale Mizani njia ya kati ile kuenda Ngara, kutoka Mizani penyewe, Nyakahura, Mulusagamba hadi ufike Ngara dooh!! Kuna umasikini wa hali ya juu sana.
Kwa kweli hii tz hii bado tuna Safari ndefu sana sisi.
 
Kusanyeni Road Toll kwa kilometa ili Barabara ziweze kujengwa. Haya mambo ya 152 badala ya 500 sio mazuri kbisa. Barabra zinakufa, mfuko nao unakufa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…