Barabara ya lami iliyokuwa inajengwa Kigamboni mnadani imekamilika lakini bado imefungwa kusubiri uzinduzi; Wakati wananchi wakiendelea kutaabika

Tuliza mshono hio barabara bado kidogo wanataka kuchora ile michiriz ya kati msigongane nlimskia huyo injinia wa apo akihojiwa majuz kwene tv
michiriz ya Kati unaijua vizuri kweli wewe!!!!!
 
Kuchora hiyo mistari na hadi kukauka inachukua muda gani!?
Msijifanye wajuaji, kutaka kuleta siasa kwenye maswala la kiufundi.
Watanzania sijui tuliumbwaje tu.Hapo mkiachiwa kupita Kama mbavyotaka hapa afu Barbara ikapata hitlafu, mtasahau kabisa Kama nyie ndo mlioshinikiza, badala yake mtaanza kulaumu waliohusika kutengeneza.
Sasa Bora lawama kuliko fedhea.
 
michiriz ya Kati unaijua vizuri kweli wewe!!!!!
Acheni kuleta siasa kwenye maswala ya kisayansi.Wewe huna chochote ukijuacho kuhusu highway engineering, unachowaza Ni kutaka kiupita tu, hata kabla ya Barbara kuwa tayari. Ikiharibika utakuja tena hapa kuwalaumu waliojenga.
Bora lawama kuliko fedhea.Barabara itakuwa wazi pale ambapo, wataalam wataridhia, sio kwa shinikizo lako huku mitandaoni.
 
Msijifanye wajuaji, kutaka kuleta siasa kwenye maswala la kiufundi.
Watanzania sijui tuliumbwaje tu.Hapo mkiachiwa kupita Kama mbavyotaka hapa afu Barbara ikapata hitlafu, mtasahau kabisa Kama nyie ndo mlioshinikiza, badala yake mtaanza kulaumu waliohusika kutengeneza.
Sasa Bora lawama kuliko fedhea.
Ujuaji gani!? barabara inapojengwa inapitia awamu zote za kiufundi kabla ya kuwekwa lami (pavement).
Inamaana barabara inapowekwa lami consultant na contractor wote wanakuwa wameshajilizisha Compaction iko salama baada ya kufanya vipimo vyote (mf CBR TEST n.k)
lami Ni jamvi la mwisho kuifanya barabara iwe smoothly ili magari yatembee!
Sasa lami imeshawekwa! na Mkandarasi kapaki mashine kuashilia kazi tayari kitu gani kinazuia kuifungua Wakati wanainchi wanataabika?
Mistari (road marking) huwa tunaona barabara kibao wanaweka huku magari yakipita!
 
Mkuu mambo sio simple hivyo, Kama unavyotype hapo kwenye keyboard.
 
Mambo ya kuzindua barabara kama iyo haya mambo utayaona Afrika na Tanzania tu
 
Watafungua tarehe 27 October mpite mkienda kupiga kura.
 
Nilipita kipindi cha mvua apo nikatamani kugeuza kipande chenyewe kidogo sana sidhani kama kina 3km
 
Mkuu mambo sio simple hivyo, Kama unavyotype hapo kwenye keyboard.
Sasa imefunguliwa huo ushabiki wako uliokuwa unashadadia Kuna ugumu uko wapi, acheni ushamba wa kusifia kila kitu
 
Hizo barabara si ndo tunaambiwa maendeleo ya vitu hayafai! Kumbe zikifungwa mnatabika?
 
Sasa imefunguliwa huo ushabiki wako uliokuwa unashadadia Kuna ugumu uko wapi, acheni ushamba wa kusifia kila kitu
Ndio Imefunguliwa kwasababu wamejiridhisha, na sio kwasababu ya ubwekaji 🗣️ wako wa, Humu Jf.
 
Back
Top Bottom