- Thread starter
- #21
michiriz ya Kati unaijua vizuri kweli wewe!!!!!Tuliza mshono hio barabara bado kidogo wanataka kuchora ile michiriz ya kati msigongane nlimskia huyo injinia wa apo akihojiwa majuz kwene tv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
michiriz ya Kati unaijua vizuri kweli wewe!!!!!Tuliza mshono hio barabara bado kidogo wanataka kuchora ile michiriz ya kati msigongane nlimskia huyo injinia wa apo akihojiwa majuz kwene tv
Msijifanye wajuaji, kutaka kuleta siasa kwenye maswala la kiufundi.Kuchora hiyo mistari na hadi kukauka inachukua muda gani!?
Acheni kuleta siasa kwenye maswala ya kisayansi.Wewe huna chochote ukijuacho kuhusu highway engineering, unachowaza Ni kutaka kiupita tu, hata kabla ya Barbara kuwa tayari. Ikiharibika utakuja tena hapa kuwalaumu waliojenga.michiriz ya Kati unaijua vizuri kweli wewe!!!!!
Ujuaji gani!? barabara inapojengwa inapitia awamu zote za kiufundi kabla ya kuwekwa lami (pavement).Msijifanye wajuaji, kutaka kuleta siasa kwenye maswala la kiufundi.
Watanzania sijui tuliumbwaje tu.Hapo mkiachiwa kupita Kama mbavyotaka hapa afu Barbara ikapata hitlafu, mtasahau kabisa Kama nyie ndo mlioshinikiza, badala yake mtaanza kulaumu waliohusika kutengeneza.
Sasa Bora lawama kuliko fedhea.
Mkuu mambo sio simple hivyo, Kama unavyotype hapo kwenye keyboard.Ujuaji gani!? barabara inapojengwa inapitia awamu zote za kiufundi kabla ya kuwekwa lami (pavement).
Inamaana barabara inapowekwa lami consultant na contractor wote wanakuwa wameshajilizisha Compaction iko salama baada ya kufanya vipimo vyote (mf CBR TEST n.k)
lami Ni jamvi la mwisho kuifanya barabara iwe smoothly ili magari yatembee!
Sasa lami imeshawekwa! na Mkandarasi kapaki mashine kuashilia kazi tayari kitu gani kinazuia kuifungua Wakati wanainchi wanataabika?
Mistari (road marking) huwa tunaona barabara kibao wanaweka huku magari yakipita!
tuambie ugumu uko wapiMkuu mambo sio simple hivyo, Kama unavyotype hapo kwenye keyboard.
ndo aina ya viongozi wetuMambo ya kuzindua barabara kama iyo haya mambo utayaona Afrika na Tanzania tu
sawasawaHAKUNA KUFUNGUA HADI MAGUFULI AJE. HIYO NDIO KIKI ILIYOBAKIA KUUZIA SURA.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Sasa imefunguliwa huo ushabiki wako uliokuwa unashadadia Kuna ugumu uko wapi, acheni ushamba wa kusifia kila kituMkuu mambo sio simple hivyo, Kama unavyotype hapo kwenye keyboard.
wameifungua leoBarabara hio labda ya kuombea kura
🙂Mrejesho:
Leo imefunguliwa
Ndio Imefunguliwa kwasababu wamejiridhisha, na sio kwasababu ya ubwekaji 🗣️ wako wa, Humu Jf.Sasa imefunguliwa huo ushabiki wako uliokuwa unashadadia Kuna ugumu uko wapi, acheni ushamba wa kusifia kila kitu