Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
ngoja tuone blaza,muda ukifika tutajua mbivu na mbichi makologosho ya hii nchi huwa yanajulikana.Hapo hakuna swali la msingi kwa ambaye anafikiria sawa sawa
Yan wajenge bandari kavu lengo likiwa ni kupunguza msongamano wa mizigo na magari. Afu watumie tena magari hayo hayo kubeba mizigo?
Mbona iko wazi kabisa ..treni ndo itakayotumika?