Barabara ya Mandela kilio hakiishi

Hapo hakuna swali la msingi kwa ambaye anafikiria sawa sawa
Yan wajenge bandari kavu lengo likiwa ni kupunguza msongamano wa mizigo na magari. Afu watumie tena magari hayo hayo kubeba mizigo?

Mbona iko wazi kabisa ..treni ndo itakayotumika?
ngoja tuone blaza,muda ukifika tutajua mbivu na mbichi makologosho ya hii nchi huwa yanajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…