Barabara ya Morogoro ina ulinzi hali ya juu. Leo nimetoka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa na trafiki mara 8

Barabara ya Morogoro ina ulinzi hali ya juu. Leo nimetoka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa na trafiki mara 8

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Naomba kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa ukaguzi na usimamiaji mzuri wa barabara zetu mimi leo nipo kwa daladala toka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa karibu sehemu 8 na askari ni wengi safi kabisa hii nimeikubali sana.
 
Ungesema njaa imezidi katika ma sikari, hao hawanaga cha uchapa kazi zaidi ya matumbo yao
 
Kwahiyo mleta uzi unataka kuwaaminisha wadanganyika kuwa kuwepo kwa hao watafuta za kubrashi viatu kwa wingi ndio ufahari? nchi imepigwa sana na kitu kizito kichwani.
 
Kwa matrafiki,
Iyo barabara Ina hela nyingi Sana.
Faulu Ni nyingi mno morogoro road[emoji4]
 
Na kila kituo iyo daladala iliposimama imeacha 2000 hapo kinachobakia ni wao kutembea tuu ata mlango ukiwa wazi trafiki wataminyia kama hawajaona
 
Una umri gani? Maana huenda ndio unakua
Hapo hakuna usimamizi wala ulinzi bali ni namna ya kutafuta pesa.
 
Ndiyo pekee wamebaki kupokea rushwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom